Ruka kwenda kwenye maudhui
Samahani, baadhi ya sehemu za tovuti ya Airbnb hazifanyi kazi vizuri bila JavaScript kuwezeshwa.
Kituo cha Nyenzo
Mada
Kujifunza
Habari
Msaada
Ingia
Kituo cha Rasilimali
Habari zote
Makala 44
,
·
Video 2
Habari zote
Pata habari za hivi punde za kukaribisha wageni, mabadiliko, na hadithi kutoka Airbnb.
Makala 44
,
·
Video 2
Vichujio vya aina ya maudhui
Aina ya maudhui
Maoni ya jumuiya yamehamasisha habari hizi za hivi karibuni za Airbnb
Pata maelezo kuhusu utafutaji mpya, uwazi wa bei na matangazo yaliyothibitishwa.
Vipendwa vya Wageni: Nyumba zinazopendwa zaidi, kulingana na wageni
Njia mpya ya matangazo kuonekana kulingana na ukadiriaji, tathmini na kutegemeka.
Ongoza Kilabu cha Wenyeji Bingwa cha eneo lako
Walete pamoja wenyeji katika eneo lako ili waungane, washirikiane na kushiriki.
Vutia wageni ukitumia jaribio jipya la kasi ya Wi-Fi
Fahamu jinsi ya kuthibitisha na kuonyesha kasi ya Wi-Fi yako—kistawishi muhimu cha Airbnb.
Nyenzo zilizobuniwa upya za kupanga bei, sasa ziko kwenye kalenda yako ya Airbnb
Mchanganuo wa bei uliosasishwa na mapunguzo yaliyoboreshwa yanaweza kukusaidia kudhibiti bei yako.
Uboreshaji hufanya kalenda yako iwe rahisi kudhibiti kwenye simu ya mkononi
Chagua tarehe kadhaa kwa kutelezesha kidole mara moja na uonyeshe mwaka mzima kwa wakati mmoja.
Jinsi Aina za Airbnb zinavyofanya kazi
Pata maelezo kuhusu kipengele hiki na uangalie tangazo lako lipo kwenye aina gani.
Kuratibu ujumbe ili kuokoa muda
Fanya mawasiliano ya wageni wako yawe ya kiotomatiki kuanzia wakati wa kuingia hadi kutoka.
Tunakuletea kichupo cha Matangazo
Seti ya nyenzo mpya za kusimamia tangazo lako na kuonyesha maelezo ya nyumba yako.
Njia mpya za wageni kugundua tangazo lako
Pata maelezo kuhusu badiliko kubwa kwa Airbnb katika muongo mmoja na maana yake kwa Wenyeji.
Vidokezi vya kusaidia kuzuia sherehe kwenye nyumba yako
Pata maelezo kuhusu marufuku ya kimataifa ya sherehe na mikakati ya kuepuka matatizo.
Kuweka bei kwa ajili ya ukaaji wa muda mrefu
Mapunguzo ya kila wiki na kila mwezi yanaweza kusaidia kuongeza kiwango cha utafutaji na uwekaji nafasi.
Jinsi Wenyeji wanavyoweza kufaidika na maboresho kwa wageni wa kila mwezi
Nyenzo mpya za utafutaji na machaguo ya malipo yanaweza kuwasaidia wageni zaidi kuweka nafasi ya safari ndefu.
Maeneo maarufu ya safari hivi sasa kwenye Airbnb
Wageni wanataka jua, mandhari, na matembezi marefu katika maeneo ambayo huenda usitegemee.
Airbnb Vyumba, kipengele kipya kabisa cha vyumba vya kujitegemea
Unaweza kushiriki na wageni maelezo zaidi kukuhusu kwenye Safu yako Mpya ya Mjue Mwenyeji.
Machaguo mapya ya malipo na kutuma ujumbe kwa Mwenyeji Mwenza
Gawa ada yako ya usafi na uwatumie ujumbe Wenyeji Wenza moja kwa moja kwenye Airbnb.
Ukadiriaji na tathmini zilizobadilishwa
Ukurasa wa ukadiriaji uliobuniwa upya ukiwa na usambazaji wa ukadiriaji, upangaji na kadhalika.
Ruhusa mpya za Mwenyeji Mwenza na malipo rahisi
Dhibiti kile ambacho Wenyeji Wenza wanaweza kufikia na ushiriki malipo kwenye Airbnb.
Tunakuletea fleti zinazofaa kwenye Airbnb
Tunafanya iwe rahisi kupata nyumba ya kupangisha unayoweza kukaribisha wageni kwa muda.
Mchakato wa kutoka ambao ni wazi na rahisi
Airbnb hutuma maelekezo yako ya kutoka kiotomatiki kwa wageni.
Jinsi tunavyowapa wenyeji kiti kwenye meza
Tunakuletea Bodi ya Ushauri ya Mwenyeji wa Airbnb na Mfuko wa Wenyeji wa Airbnb.
Maboresho kwenye kikasha ili kusimamia mawasiliano pamoja na wageni
Jaribu arifa za kuonyesha ujumbe kuwa umesomwa na majibu ya haraka mapya.
Habari mpya kwa Wenyeji wanaotumia kipengele cha anwani ya barua pepe
Hiki ndicho Wenyeji wanahitaji kujua kuhusu kuwasiliana na wageni.
Kuelewa mapato yako
Sasa unaweza kuunda ripoti mahususi na kuchuja kulingana na aina ya mapato.
Sera ya Matukio yenye Usumbufu Mkubwa
Pata maelezo kuhusu jinsi Airbnb inavyoshughulikia kughairi wakati matukio makubwa yanatokea.
Kupata mwenyeji mwenza anayefaa
Pata usaidizi wa hali ya juu, wa eneo husika kupitia Mtandao wa Wenyeji Wenza.
Kuwatumia wageni ujumbe
Jaribu vidokezi hivi ili kutafuta, kutuma na kuratibu ujumbe haraka na kwa urahisi.
Kulinganisha matangazo yanayofanana
Pata ramani kwa haraka inayoonyesha bei za wastani za maeneo kama yako.
Mabadiliko ya hivi karibuni kwenye tathmini ya Mwenyeji Bingwa
Anza kujitayarisha sasa ili utimize vigezo vyote 4 katika tathmini ya mwezi Aprili.
Kuweka na kuhariri vistawishi ni rahisi kuliko hapo awali
Tumeanzisha machaguo mapya ya vistawishi—na njia mpya za kuziweka kwenye tangazo lako.
Jinsi ya kufanya sehemu yako iwe yenye starehe kwa watu wanaofanya kazi wakiwa mbali
Vistawishi kama vile Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi ya kufanyia kazi vinaweza kuwavutia wageni.
Jinsi ukaaji wa muda mrefu unavyoweza kuinufaisha biashara yako ya kukaribisha wageni
Wageni wachache wanaoweka nafasi ya siku nyingi zaidi wanaweza kurahisisha huduma ya kukaribisha wageni na kuongeza mapato.
Miongozo ya kuandika kichwa cha tangazo lako
Sasisha kichwa chako ili uonyeshe sehemu yako katika matokeo ya utafutaji.
Kidokezi kipya husaidia nyumba bora zionekane
Matangazo yaliyopewa ukadiriaji wa juu zaidi hupata kombe kulingana na ukadiriaji, tathmini na kutegemeka.
Miongozo ya usalama kwa ajili ya wenyeji
Fuata vidokezi hivi vya kukaribisha wageni kwa uwajibikaji ili kusaidia kuweka wageni wako salama.
Jinsi ya kushughulikia tathmini ya kulipiza kisasi
Omba kuondolewa kwa tathmini ambazo zinakwenda kinyume na Sera yetu ya Tathmini.
Udhibiti zaidi katika kichupo cha Matangazo
Unaweza kupanga upya picha ndani ya vyumba na usasishe ziara ya picha kwa kusaidiwa na akili bandia (AI).
Jua zaidi kuhusu wageni wako kupitia maboresho ya wasifu
Mpangilio mpya wa wasifu unajumuisha upigaji picha wa kuelekezwa ili kupata picha bora.
Kutumia majibu ya haraka ili kuokoa muda
Violezo vya ujumbe hufanya iwe rahisi zaidi kutuma maelezo muhimu kwa wageni.
Unganisha kufuli janja kwenye Airbnb ili mchakato wa kuingia uwe rahisi
Wenyeji wenye nyumba nchini Marekani na Kanada wanaweza kuweka makufuli yanayopatana.
Unachohitaji kujua kuhusu kukaribisha familia
Tayarisha sehemu yako kwa umakinifu na ubadilishe tangazo lako ili kupanua hadhira yako.
Njia mpya tunayopigana dhidi ya ubaguzi kwenye Airbnb
Tunakuletea Mradi wa Mnara wa Taa ili kugundua, kupima na kushinda ubaguzi.
Sheria za msingi kwa ajili ya wageni
Airbnb inahitaji wageni waheshimu nyumba yako na kufuata sheria za nyumba yako.
Jinsi ya kuandaa sehemu yako na wageni kwa ajili ya mioto ya mwituni
Vidokezi hivi vya wataalamu vinaweza kukusaidia kupunguza hatari na kuwaelimisha wageni kuhusu usalama.
Wasiliana kwa ufanisi zaidi ukitumia maboresho ya ujumbe
Majibu mapya ya haraka, majibu kwenye mfumo wa uzi na nyenzo za kuhariri zinakuja hivi karibuni.
Kupunguza mazingira ya kaboni monoksidi katika nyumba yako
Funga king'ora cha kaboni monoksidi, kisha usasishe tangazo lako ili uwajulishe wageni.
Chunguza mada zaidi
Anza kukaribisha wageni
Kwa nini uwe Mwenyeji
Jinsi kukaribisha wageni kunavyofanyika
Maswali ya kawaida
Sehemu yako
Msukumo wa ubunifu
Usafi
Ufikiaji
Uendelevu
Usanidi na vistawishi
Tangazo lako
Maelezo ya tangazo na picha
Kalenda na mipangilio ya kuweka nafasi
Mikakati ya upangaji bei
Takrima
Kuwafurahisha Wageni
Mawasiliano na kuingia
Ukadiriaji na tathmini
Changamoto zinazoweza kujitokeza
Kuza Biashara yako
Masoko na promosheni
Mwenyeji Bingwa
Chunguza zaidi
Airbnb.org
Bodi ya Ushauri ya Wenyeji
Matukio
Ukaribishaji wageni wa kiweledi
Zana na vipengele
Hadithi za mafanikio