Airbnb ni kwa ajili ya kila mtu

Hivi ndivyo tunavyojenga Airbnb inayofikika zaidi

Tunachojitahidi kufanya

Tunataka kufanya usafiri uwe jumuishi zaidi na unaofikika kwa ajili ya kila mtu. Kazi hii haiishi, lakini hivi ndivyo tunavyoiendeleza hadi sasa.

Usahihi ulioboreshwa

Wageni wenye matatizo ya kutembea mara nyingi hutegemea picha ili kuhakikisha tangazo litawafaa. Ndiyo sababu tunahitaji wageni kutoa picha za kila kipengele cha ufikiaji walicho nacho na ndiyo maana matangazo huwa na sehemu maalumu iliyotengwa kwa ajili ya kuonyesha picha hizi.

Viwango vya ufikiaji vya kidijitali

Tunajitahidi kupata viwango vya ufikiaji vya kidijitali vilivyowekwa na Miongozo ya Ufikiaji ya Maudhui ya Tovuti. Tunawekeza pia kwenye nyenzo za majaribio za kiotomatiki ili kutusaidia kutambua matatizo zaidi.

Matangazo zaidi yaliyo na vipengele vya ufikiaji

Tunajitahidi kuweka matangazo zaidi yaliyo na vipengele vya ufikiaji kwenye Airbnb na tunafanya iwe rahisi kuyapata kwa kuboresha vipengele vyetu vya utafutaji, ikiwemo vichujio ambavyo ni rahisi kutumia na picha bora zaidi kwenye ukurasa wa matokeo ya utafutaji.

Matukio yanayofikika

Matukio ya Airbnb yanayofikika zaidi—shughuli za kipekee zilizoandaliwa na wataalamu wakazi—yako njiani.

Vidokezi kwa ajili ya wageni

Tunajua kwamba kupata sehemu ya kukaa au tukio la kuwekea nafasi linalokidhi mahitaji yako kunaweza kuwa jambo gumu. Hivi ni vidokezi vichache vya kuhakikisha kuwa safari zako zinaenda vizuri kadiri iwezekanavyo.

Pata eneo linalofaa

Tumia vichujio vya utafutaji kuonyesha tu maeneo au matukio yanayokidhi mahitaji yako ya ufikiaji. Mara baada ya kupata matangazo machache, tazama sehemu ya "Vipengele vya Ufikiaji" ya kila tangazo kwa ajili ya picha na maelezo ya vipengele ambavyo ni muhimu kwako.

Zungumza na wenyeji watarajiwa

Ikiwa una wasiwasi wowote maalumu, hakikisha kuwa umetuma ujumbe kwa mwenyeji kabla ya kuweka nafasi ili kuhakikisha kuwa anaweza kukukaribisha. Unaweza kutuma ujumbe kwa wenyeji watarajiwa kutoka kwenye kiunganishi cha "Wasiliana na mwenyeji" kwenye ukurasa wao wa tangazo au tukio.

Wasaidie wageni wengine

Je, ungependa kujua nini kabla ya kuweka nafasi? Wajulishe wageni wenye matatizo ya kutembea kile ambacho wanapaswa kutarajia kwa kuandika tathmini ya kina.

Vidokezi kwa ajili ya wenyeji

Hizi ni njia chache ambazo unaweza kuwasaidia wageni wenye ulemavu

Fanya tangazo lako lifikike zaidi

Huenda usitambue kwamba tayari nyumba yako ina vipengele vya ufikiaji—kama vile milango mipana—au kwamba unaweza kuweka baadhi ya vipengele hivi bila jitihada au gharama nyingi. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kuwasaidia wageni walio na matatizo ya kutembea.

Weka picha za ufikiaji

Weka picha za vipengele vyako vya ufikiaji ili uonyeshe sehemu yako kwa wageni 70,000 na zaidi wenye matatizo ya kutembea ambao hutafuta kwenye Airbnb kila mwezi. Ili kuanza, nenda kwenye eneo la Simamia Sehemu Yako kwa ajili ya tangazo ambalo ungependa kuwekea vipengele vya ufikiaji. Hakikisha unaandika maelezo mafupi kwa ajili ya kila picha na uangalie vidokezi vyetu vya picha.

Pata maelezo kuhusu wanyama wasaidizi

Wanyama wasaidizi huwasaidia watu wenye aina tofauti za ulemavu na Airbnb ina sera zinazowaruhusu katika hali nyingi. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kuwasaidia wageni walio na wanyama wasaidizi.

Ufikiaji katika Airbnb

Timu zilizojitolea

Airbnb ina timu zinazolenga kusaidia kuunda bidhaa zinazoweza kutumiwa na kila mtu. Wahandisi na wabunifu kwenye timu hizi hujitahidi kuboresha mifumo ya muundo wa Airbnb na kuelimisha wenzao tunapojifunza kutoka kwa jumuiya yetu.

Utafiti unaoendelea

Tunfanya utafiti pamoja na watu wenye ulemavu na tunashirikiana mara kwa mara na wataalamu katika jumuiya ya ufikiaji ili kutusaidia tujenge Airbnb kwa kuzingatia ufikiaji. Pata maelezo zaidi kuhusu kushiriki katika utafiti.

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Ninawezaje kutumia vichujio vya utafutaji?

Tumia vichujio vya utafutaji ili kupunguza machaguo yako unapotafuta sehemu ya kukaa. Unaweza kutumia vichujio hivi ili kuonyesha matangazo yaliyo na vipengele fulani vya ufikiaji pekee. Pata maelezo zaidi

Ninawezaje kuwasaidia wageni wenye ulemavu?

Nyumba yako inaweza kufikika kwa urahisi zaidi kuliko unavyofikiri. Anza kwa kutathmini orodha yetu ya vipengele vya ufikiaji ambavyo unaweza kuweka kwenye tangazo lako. Pata maelezo zaidi

Ninawezaje kuwa mwenyeji?

Ikiwa una nyumba au sehemu iliyo na vipengele vya ufikiaji, tungependa uwe mwenyeji wa Airbnb. Pata maelezo kuhusu kukaribisha wageni