Usaidizi wa Eneo Jirani

Tunajua kwamba matatizo yanaweza kutokea katika jumuiya yoyote. Kwa kawaida ni rahisi zaidi kuwasiliana moja kwa moja na jirani yako ili kushughulikia wasiwasi unaohusiana na kukodisha nyumba, lakini pia unaweza kuwasiliana nasi hapa chini kwa usaidizi zaidi. Ikiwa una wasiwasi ambao hauhusiani na eneo lako jirani, tafadhali tembelea Kituo cha Msaada.

Je, hii ni hali ya dharura?
Piga 911 ili kuwasiliana na polisi wa eneo au huduma nyingine za dharura ikiwa mtu yuko hatarini au amejeruhiwa.
Je, kuna sherehe au usumbufu karibu?
Omba kupigiwa simu na timu ya Usaidizi wa Kitongoji.
Piga simu kwa timu ya Usaidizi wa Kitongoji moja kwa moja kupitia +1 (855) 635-7754.
Utapelekwa nje ya Airbnb ili kupiga simu kwenda huduma za dharura za karibu. Matumizi ya kipengele hiki yanadhibitiwa na sera yetu.

Kwa wasiwasi usio wa dharura kwenye eneo lako jirani, tutumie ujumbe

Chagua mada ya kuanza. Kati ya mada hizi, ni ipi inayokuhusu?

Kelele au sherehe

Tunajua kelele nyingi au sherehe zinaweza kuudhi. Jaza fomu hapa chini nasi tutatafuta suluhisho.

Je, una kiunganishi cha tangazo la Airbnb kwa ajili ya nyumba hii? Itatusaidia kuwasiliana na mwenyeji haraka.

Ni nini hutokea wakati unatutumia wasiwasi wako?

Baada ya kujaza fomu, utapata barua pepe ya uthibitisho pamoja na namba ya kesi.

Timu yetu itatathmini wasiwasi wako. Ikiwa tutalinganisha na tangazo hai la Airbnb, tutawasiliana na mwenyeji.

Tutawasiliana nawe baada ya uchunguzi zaidi. Kukiwa na uhitaji, tutawasiliana nawe kwa taarifa zaidi.