Vistawishi na nyenzo za wageni
Vistawishi na nyenzo za wageni
- Jinsi ya kufanya
Hariri kichwa cha tangazo lako
Unaweza kubadilisha jina la tangazo lako wakati wowote ukipenda, kwa hivyo jisikie huru kulipatia jina linaloangazia kile kinachofanya eneo … - Jinsi ya kufanya
Weka vistawishi kwenye tangazo
Wageni wanaweza kuchuja matokeo ya utafutaji wa matangazo kwa kufuatia vistawishi, kwa hivyo ni muhimu ujumuishe kila kitu unachotoa. - Jinsi ya kufanya
Kuweka vipengele vya ufkiaji kwenye matangazo
Wageni walio na mahitaji ya ufikiaji wanaweza kutafuta matangazo kulingana na mahitaji yao binafsi. - Jinsi ya kufanya
Kufanya jaribio la kasi ya Wi-Fi yako
Thibitisha muunganisho wako wa intaneti na kasi ya Wi-Fi ili kufanya tangazo lako lionekane wageni wanapotafuta eneo la kukaa. - Jinsi ya kufanya
Kuweka sheria za nyumba kwenye tangazo
Wenyeji hushiriki sheria za nyumba zao ili kuweka matarajio kwa wageni wao, kama vile ruhusa ya kuleta wanyama vipenzi au kuwa na wageni. - Jinsi ya kufanya
Kuweka mwongozo wa mgeni kwenye tangazo lako
Mwongozo wako wa mgeni unaelezea vipengele vya tangazo lako, kama vile jinsi televisheni inavyofanya kazi au mahali pa kupata blanketi ya zi… - Jinsi ya kufanya
Kuwajulisha wageni kuhusu vifaa vya usalama
Uwazi husaidia kujenga uaminifu na kuweka matarajio dhahiri kati ya Wenyeji na wageni. Kwa kuweka wazi kuhusu kamera za usalama, vifaa vya k… - Jinsi ya kufanya
Kumlipa msafishaji wako mshahara wa kuishi
Wenyeji wetu wa Marekani wamejizatiti kuwapa wasafishaji wao malipo ya haki. - Jinsi ya kufanya
Weka kitabu cha mwongozo kwenye tangazo lako
Unaweza kuunda kitabu cha mwongozo wa mwenyeji baada ya kumaliza hatua za kutangaza sehemu yako.