Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Upigaji picha wa kitaalamu

 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Upigaji picha za kitaalamu kwa ajili ya matangazo

  Fahamu jinsi ya kuangalia ikiwa huduma ya upigaji picha za kitaalamu inapatikana katika eneo lako na uombe upigaji picha za kitaalamu.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Nini hufanyika baada ya kuomba upigaji wa picha za kitaalamu

  Tutajitahidi kukuunganisha na mpiga picha anayepatikana katika eneo lako. Mpiga picha akikubali kazi hiyo, tutakutumia barua pepe yenye taarifa yake.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Kujiandaa kwa ajili ya upigaji picha wako

  Safisha, unadhifishe na upange sehemu yako ili kuwavutia zaidi wageni watarajiwa. Mpigapicha wako anaweza kupendekeza marekebisho kadhaa madogo.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Kulipia picha zako za kitaalamu

  Tutakata gharama ya upigaji wa picha zako kutoka kwenye malipo yanayofuata utakayopokea kutoka kwa lolote la matangazo yako.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Jinsi ya kuratibu upya au kughairi kupiga picha za kitaalamu

  Tafadhali mpe mpiga picha wako taarifa ya angalau saa 24 ya kuratibu upya au kughairi upigaji wa picha zako. Mara baada ya upigaji picha kuanza, fedha haziwezi kurejeshwa.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Nitarajie nini wakati wa upigaji wa picha za kitalamu?

  Mpiga picha wako atakuwa mtu wa eneo husika, mwenye sifa na ana uzoefu wa kupiga picha za ndani. Atahakikisha picha zinawakilisha sehemu yako kwa usahihi.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Nini kitakachotokea baada ya kupiga picha zangu za kitaalamu?

  Timu yetu huhariri na kutathmini picha zote kabla ya kuzipakia moja kwa moja kwenye tangazo lako, ambapo zitapatikana kwa kila mtu kwenye Airbnb.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Kuhifadhi picha zako za kitaalamu

  Pata taarifa kuhusu jinsi ya kupakua picha zako za kiweledi. Kumbuka kuwa ni kwa matumizi yako binafsi tu na hazipaswi kutumiwa kwenye tovuti nyingine ya mali isiyohamishika au ya upangishaji.
 • Jinsi ya kufanya • Mwenyeji

  Kupiga picha upya

  Tunatoa huduma za kupigiwa picha za kitaalamu mara moja tu kwa kila tangazo. Upigaji huo wa picha hauwezi kughairiwa au kurejeshewa fedha baada ya kuanza.