Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Jinsi ya kufanya
Mwenyeji

Hariri kichwa cha tangazo lako

You can change the title of your listing whenever you want—it’s your space, so feel free to give it a name that highlights what makes your place special. You’re never locked into a specific listing title.

Ili kufanya mabadiliko kwenye kichwa cha tangazo lako:

  1. Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka kubadilisha
  2. Chini ya maelezo ya Tangazo, enda kwenye Kichwa cha Tangazo na ubofye Hariri
  3. Fanya mabadiliko yako kisha ubofye Hifadhi

Jambo moja la kukumbuka: Mabadiliko yanaweza kuchukua hadi saa moja ndipo yaonekane kwenye tangazo lako la umma.

Need inspiration for a listing title? Our Resource Center is a great place for hosting tips and recommendations.

We do ask that you follow our content policy, which means don’t include misleading info, and don’t use symbols or emojis in your title. Check out our Airbnb Content Policy for more info.

Je, makala hii ilikusaidia?

Makala yanayohusiana

Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili