Jinsi ya kufanya
•
Mwenyeji
Kuweka sheria za nyumba kwenye tangazo
Kuweka sheria za nyumba kwenye tangazo
Your house, your rules! After you’ve listed your place, you can set expectations with your guests, like limits on smoking or permission to bring pets. Your house rules will appear on your listing page and guests will need to agree to them to book your place.
Ili kuweka au kuhariri sheria za nyumba:
- Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
- Chini ya Sera na Sheria, nenda kwenye Sheria zanyumba
- Fanya mabadiliko yako kisha ubofye Hifadhi
- Bofya Wasifu
kisha ubofye Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Nenda kwenye Menyu, bofya Matangazo
kisha uchague tangazo unalotaka
- Bofya Mipangilio ya kuweka nafasi, kisha uende kwenye Kuweka nafasi
- Bofya Sheria za nyumba kisha ufanye mabadiliko yako
- Bofya Hifadhi
- Bofya Wasifu
kisha ubofye Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Nenda kwenye Menyu, bofya Matangazo
kisha uchague tangazo unalotaka
- Bofya Mipangilio ya kuweka nafasi, kisha uende kwenye Kuweka nafasi
- Bofya Sheria za nyumba kisha ufanye mabadiliko yako
- Bofya Hifadhi
- Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
- Chini ya Sera na Sheria, nenda kwenye Sheria za nyumba
- Fanya mabadiliko yako kisha ubofye Hifadhi
Speaking of animals, it’s worth familiarizing yourself with our updated Accessibility Policy and our pet policy. Service animals, like guide dogs, always stay for free.
Visit the Resource Center to learn how adding house rules to your listing can protect your home and create a better guest experience.
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- MwenyejiKuweka mwongozo wa mgeni kwenye tangazo lakoMwongozo wako wa mgeni unaelezea vipengele vya tangazo lako, kama vile jinsi televisheni inavyofanya kazi au mahali pa kupata blanketi ya zi…
- MwenyejiHariri tangazo lakoUnapohariri, mabadiliko yako yatahifadhiwa kiotomatiki. Mabadiliko yanaweza kuchukua hadi saa moja ndipo yaonekane kwenye tangazo lako la um…
- MwenyejiSheria za msingi kwa ajili ya wageniTafadhali tathmini Viwango vyetu vya Kuaminika kwa Wageni.
Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili