Kuweka Nafasi ya Matukio ya Airbnb
Kuweka Nafasi ya Matukio ya Airbnb
Mambo ya msingi
- Jinsi ya kufanyaKuweka nafasi ya matukioNi rahisi kuweka nafasi ya Tukio la Airbnb! Unaweza kuchagua jiji mahususi na tarehe au uvinjari matukio yote. Kumbuka, upatikanaji wa tukio…
- Jinsi ya kufanyaKuweka Nafasi ya Matukio ya MtandaoniMatukio mengine ya mtandaoni hufanyiwa kwenye Zoom. Unaweza kuweka nafasi ya tukio la mtandaoni kwenye Airbnb kwa njia ile ile unayoweka naf…
- Jinsi ya kufanyaFahamu nini kinajumuishwa kwenye Tukio la AirbnbAngalia sehemu ya "Kilichojumuishwa" au "Nitakachotoa" ya ukurasa wa tukio ili kujua nini cha kutarajia.
- Jinsi ya kufanyaKuweka nafasi ya Matukio kwa ajili ya makundiMakundi binafsi hukuruhusu kuweka nafasi zote za Tukio kwenye tarehe na wakati mahususi ambapo limeandaliwa.
- Jinsi ya kufanyaKuwaalika wageni kwenye tukio binafsiIkiwa utaweka nafasi ya tukio, unaweza kuwatumia washiriki wote kiunganishi ambapo wanaweza kudai kiti. Mara baada ya kufanya hivyo, watajum…
- Jinsi ya kufanyaTafuta Matukio yenye vipengele vya ufikiajiTumia vichujio ili kuchagua vipengele unavyohitaji kwa ajili ya Matukio. Kama kawaida, unaweza kuwasiliana na Mwenyeji moja kwa moja ili kuu…
- Jinsi ya kufanyaJinsi ya kudai kiti chako kwa ajili ya tukio binafsiUnapoalikwa kwenye tukio binafsi la mtandaoni, utapata kiunganishi kutoka kwa mweka nafasi wa tukio hilo ili kudai kiti.
- Jinsi ya kufanyaOmba tarehe au saa mpya ya TukioWasiliana na mwenyeji ili uombe kuweka nafasi ya tarehe au saa ambazo hazijaorodheshwa kwenye kalenda yake. Atatathmini kisha akubali au aka…
- Jinsi ya kufanyaKuwasiliana na Wenyeji Wenza wa Tukio na wasaidiziMwenyeji anaweza kuwa na timu ya kumsaidia kushughulikia Tukio lake. Wageni watajulishwa majukumu yake katika ujumbe wa kundi.
Mahitaji
- Jinsi ya kufanyaMatakwa ya kuweka nafasi kwa ajili ya MatukioLazima uzingatie sheria na kanuni za eneo husika unapoenda kwenye tukio. Baadhi ya shughuli zinahitaji ujuzi tofauti au leseni mahususi.
- Sera ya jumuiyaMatakwa ya umriLazima uwe na umri wa angalau miaka 18 ili uweke nafasi au ukaribishe wageni katika eneo lako kwenye Airbnb.
- Jinsi ya kufanyaKuleta wageni wa ziada kwenye tukioWageni wanaweza kuweka watu kwenye nafasi iliyowekwa au wawaombe waweke nafasi yao wenyewe. Iwapo wageni wa ziada watajitokeza bila kutazami…
- Jinsi ya kufanyaKununua Matukio kwa ajili ya wageni wengineJe, unataka kushiriki na marafiki Tukio lako la Airbnb? Unaweza kuweka nafasi na kulipia hadi wageni 10, lakini lazima uwe mmoja wa washirik…
- Jinsi ya kufanyaWatoto wanaohudhuria matukioMwenyeji atabainisha katika maelezo ikiwa tukio linafaa kwa watoto au la na watoto wanapaswa kuwa wa umri gani ili wahudhurie.
- SheriaVizuizi vya ulaji wa vyakula fulani kwenye Matukio ya AirbnbMara nyingi wenyeji wanaweza kupata njia za kutosheleza vizuizi kadhaa vya lishe ili kila mtu anufaike zaidi na tukio. Wasiliana na Mwenyeji…
- Jinsi ya kufanyaRetired article 1886: Airbnb Experiences in China—what happens to your informationChinese government agencies may require Airbnb China to disclose Host and guest info relating to experiences in China.