Vidokezi vya kutafuta
Vidokezi vya kutafuta
Jinsi ya kutafuta
- Jinsi ya kufanyaKutafuta sehemu za kukaaTumia vichujio, angalia ramani na usome maelezo ya maeneo ili kupunguza machaguo yako ili kupata sehemu inayofaa safari yako.
- Jinsi ya kufanyaKutumia vichujio vya utafutajiKuanzia vistawishi hadi bajeti, vichujio vya utafutaji vya Airbnb ndivyo mbinu muhimu ya kupata sehemu nzuri ya kukaa.
- Jinsi ya kufanyaNjia zinazoweza kubadilika za kutafutaWageni wanaweza kugundua njia zinazoweza kubadilika zaidi za kusafiri kwa kutumia Aina—kuchunguza mamilioni ya nyumba ambazo hawakujua kwamb…
- Jinsi ya kufanyaTafuta sera za kughairi zinazoweza kubadilika zaidiSasa unaweza kupata matangazo yenye sera za kughairi zinazoweza kubadilika zaidi kwa kutumia kichujio chetu cha utafutaji. Unaweza kutafuta …
- Jinsi ya kufanyaTafuta kwa mitaaUnaweza kutafuta kulingana na kitongoji, alama-ardhi na kadhalika kwa kuandika kwenye sehemu ya Eneo au kwa kutumia ramani.
- Jinsi ya kufanyaTafuta maeneo yenye vipengele vya ufikiajiTumia vichujio ili kuchagua vipengele unavyohitaji. Kama kawaida, unaweza kuwasiliana na Mwenyeji moja kwa moja ili kuuliza maswali.
Kuelewa matangazo
- Jinsi ya kufanyaUpatikanaji wa tangazoWeka mahali unakoenda, tarehe za kusafiri na idadi ya wageni unapotafuta kwenye Airbnb na matangazo yote yanayoonyeshwa yanapaswa kupatikana…
- Jinsi ya kufanyaAina za sehemu za kukaaWenyeji kwenye Airbnb hutoa sehemu nyingi anuwai. Unaweza kuweka nafasi ya sehemu yote, vyumba vya kujitegemea, vyumba vya hoteli na vyumba …
- Jinsi ya kufanyaKutafuta maeneo yanayofaa kwa wanyama vipenziAngalia sehemu ya sheria za nyumba ya maelezo ya tangazo ili kujua ikiwa unaweza kuleta mnyama kipenzi wako au ikiwa Mwenyeji ana wanyama vi…
- Jinsi ya kufanyaMgeni kuingia mwenyeweWageni wanaweza kuingia kwenye nyumba wakitumia kisanduku cha funguo, kufuli mahiri, kicharazio, au kwa kupata ufunguo, wakati wowote baada …
- Jinsi ya kufanyaKuweka Nafasi Papo HapoMatangazo ya kipengele cha Kuweka Nafasi Papo Hapo huwaruhusu wageni wanaokidhi matakwa ya Mwenyeji kuweka nafasi mara moja, badala ya kulaz…
- Jinsi ya kufanyaVitambulisho vya tathmini ni nini?Tathmini ziko chini ya kategoria tofauti ili ziweze kutafutwa kwa urahisi. Chunguza aina za maneno ya kunukuu za tathmini na upate taarifa m…
- Jinsi ya kufanyaNi aina gani ya matangazo ambayo yanajumuisha sehemu za kukaa kuanzia mwezi mmoja?Pata maelezo kuhusu vigezo ambavyo lazima matangazo yakidhi ili yaonyeshwe katika sehemu za kukaa kuanzia mwezi mmoja.
- Jinsi ya kufanyaMatangazo yenye machaguo yasiyorejeshewa fedhaChaguo lisilorejeshewa fedha ni punguzo ambalo linakuruhusu uweke nafasi kwa bei ya chini lakini haliwezi kughairiwa kwa ajili ya kurejeshew…
- Jinsi ya kufanyaLeseni ya "inasubiri" au ya "msamaha" au nambari za usajili kwenye matangazoBaadhi ya majiji huwahitaji Wenyeji wapate leseni au nambari ya usajili. Sehemu hii inawaruhusu Wenyeji kuonyesha nambari hiyo.
Kuhifadhi vipendwa
- Jinsi ya kufanyaKuhifadhi Tukio au eneo kwenye matamanioUnaweza kufuatilia vitu unavyopenda kwa kutengeneza matamanio na kuyapa jina. Hii ni njia nzuri ya kupanga safari na kuishiriki na wasafiri …
- Jinsi ya kufanyaKusimamia matamanioUnaweza kuweka au kufuta vipendwa vyako wakati wowote. Kuishiriki na watu unaotaka kusafiri pamoja nao kunawaruhusu waweke hapo pia.