Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Kuweka nafasi kwenye maeneo ya kukaa

Mambo ya msingi

Mahitaji

 • Jinsi ya kufanya

  Matakwa ya kuweka nafasi

  Baada ya vitu vya msingi (jina, barua pepe na nambari ya simu) tunahitaji taarifa zaidi ili uweze kuweka nafasi ya sehemu yako ya kukaa.
 • Sera ya jumuiya

  Matakwa ya umri

  Lazima uwe na umri wa angalau miaka 18 ili uweke nafasi au ukaribishe wageni katika eneo lako kwenye Airbnb.
 • Sheria

  Kusafiri na watoto

  Ndiyo, watoto wanaweza kusafiri kwenye Airbnb, lakini baadhi ya Wenyeji wamebainisha kuwa sehemu yao huenda isiwe salama au isiwafae watoto …
 • Sera ya jumuiya

  Sera ya Ufikiaji

  Jumuiya yetu imejengwa juu ya kanuni za ujumuishaji, kujisikia nyumbani na heshima, ambayo inajumuisha kukaribisha na kusaidia watu wenye ul…
 • Sheria

  Kuweka nafasi nchini Kyuba

  Airbnb imepewa idhini maalumu na Wizara ya Fedha ya Marekani ambayo inatuwezesha kutoa huduma za kusafiri zilizoidhinishwa kwa watu ambao si…
 • Jinsi ya kufanya

  Kuweka nafasi nchini Japani

  Pata taarifa muhimu kuhusu unachohitaji kujua kabla ya kuweka nafasi ya sehemu ya kukaa nchini Japani, ikiwemo taarifa utakayompa Mwenyeji w…

Ushirikiano wa wenyeji na idhini za awali

 • Jinsi ya kufanya

  Kuwasiliana na Wenyeji

  Ukitaka kupata maelezo zaidi kuhusu tangazo fulani, Mwenyeji au tukio kabla ya kuweka nafasi, unaweza kumtumia ujumbe mwenyeji kwenye Airbnb…
 • Jinsi ya kufanya

  Jinsi mwaliko wa kuweka nafasi unavyofanya kazi

  Idhini ya awali ni njia ya mwenyeji kukuruhusu kujua kuwa tangazo lake linapatikana anapoulizwa kuhusu uwezekano wa kuweka nafasi. Una saa 2…
 • Jinsi ya kufanya

  Inamaanisha nini mwenyeji akinipa idhini ya awali?

  Ikiwa mwenyeji amekupa idhini ya awali, unaweza kuweka nafasi moja kwa moja kwa tarehe ambazo umeulizia bila kusubiri jibu jingine kutoka kw…
 • Jinsi ya kufanya

  Mialiko na ofa maalumu

  Unaweza kuwasiliana na mwenyeji kuhusu eneo lake kabla ya kuomba kuliwekea nafasi. Kisha Mwenyeji ana chaguo la kukupa idhini ya awali au of…
 • Jinsi ya kufanya

  Lini umtumie ujumbe Mwenyeji wako

  Unaweza kuweka nafasi kabla ya kuwasiliana na Mwenyeji, lakini ni vizuri umtumie ujumbe Mwenyeji ikiwa una maswali.
 • Jinsi ya kufanya

  Kuwasiliana na Mwenyeji bila kuweka nafasi

  Kabla ya kuweka nafasi unaweza kumuuliza Mwenyeji maswali mahususi kuhusu tangazo, upatikanaji na kadhalika.
 • Jinsi ya kufanya

  Ikiwa Mwenyeji atakuomba utie sahihi mkataba

  Baadhi ya Wenyeji wanahitaji makubaliano ya upangishaji ili kuwekewa nafasi, lakini lazima wafichue matakwa haya na masharti yake kabla ya n…

Maombi ya kuweka nafasi