Ruka kwenda kwenye maudhui
  Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa
  Habari za hivi punde kuhusu COVID-19
  Ili upate machaguo ya kughairi na kurejesha fedha, chagua nafasi iliyowekwa kwenye ukurasa wa Safari. Sera yetu ya sababu zisizozuilika inatumika tu kwenye nafasi fulani zilizowekwa. Tunatoa habari za hivi punde tarehe 1 na 15 ya kila mwezi.

  Je! Ninawekaje nafasi ya tukio?

  Unaweza kutumia tovuti ya Airbnb au programu ya simu ili kuweka nafasi ya tukio. Unapofungua tovuti au programu, angalia sehemu ya Tukio. Kisha, chagua jiji maalumu na tarehe, au vinjari kupitia matukio yote.

  Huna haja ya kuwa na nyumba iliyowekwa kwenye Airbnb ili kuweka nafasi kwenye tukio.

  Kama vile tu upatikanaji wa nyumba, upatikanaji wa tukio huwekwa na mwenyeji binafsi.

  Kabla ya kuweka nafasi

  Hakikisha unatathmini mahitaji ya wageni na mahitaji mengine yoyote yaliyotajwa na mwenyeji. Hizi zinaweza kujumuisha mipaka ya umri au kiwango cha ujuzi.

  Kuweka nafasi ya matukio ya ziada

  Unaweza kuweka nafasi ya matukio mengi utakavyo wakati wa safari yako. Hakikisha unahakiki ratiba ili kuepuka uwekaji nafasi wa matukio yanayoingiliana.

  Ulipata msaada uliohitaji?