Jinsi ya kuwafanya wageni wajihisi ni maalumu
Kuunda sehemu inayovutia, ya kustarehesha kunaweza kusaidia kufanya tangazo lako likumbukwe.
Na Airbnb tarehe 17 Des 2020
Imesasishwa tarehe 27 Sep 2023video ya dakika 3
Tazama video, kisha ukumbuke:
- Andaa mapumziko mafupi ambapo wageni wanaweza kustarehe.
- Weka burudani maalumu: kahawa, chai, mapochopocho ya eneo husika, n.k.
- Usisahau vitu muhimu: karatasi ya chooni, vitambaa, mito, mataulo na sabuni.
Airbnb
17 Des 2020
Ilikuwa na manufaa?