Iweke kwenye Airbnb.
Unaweza kujipatia

Iweke kwenye Airbnb kwa urahisi kupitia Anza Kutumia Airbnb

Mwongozo wa moja kwa moja kutoka kwa Mwenyeji Bingwa

Tutakuunganisha na Mwenyeji Bingwa katika eneo lako, ambaye atakuongoza kuanzia swali lako la kwanza kwa mgeni wako wa kwanza, kwa njia ya simu, simu ya video au gumzo.

Mgeni mzoefu kwa nafasi ya kwanza unayowekewa

Kwa nafasi ya kwanza unayowekewa, unaweza kuchagua kumkaribisha mgeni mzoefu ambaye amekaa angalau mara tatu na ana rekodi nzuri kwenye Airbnb.

Usaidizi maalumu kutoka Airbnb

Wenyeji wapya wanapata usaidi wa haraka kutoka kwa wahudumu waliopewa mafunzo mahususi wa kituo cha Usaidizi wa Jumuiya ambao wanaweza kusaidia kwa kila kitu kuanzia matatizo ya akaunti hadi usaidizi wa malipo.

Iweke kwenye Airbnb ukiwa na ulinzi kamili

AirbnbWashindani
Uthibitishaji wa utambulisho wa mgeni
Mfumo wetu kamili wa uthibitishaji hukagua maelezo kama vile jina, anwani, kitambulisho cha serikali na kadhalika ili kuthibitisha utambulisho wa wageni ambao huweka nafasi kwenye Airbnb.
Ukaguzi wa nafasi iliyowekwa
Teknolojia tunayomiliki inachambua mamia ya mambo katika kila nafasi iliyowekwa na inazuia baadhi ya nafasi zilizowekwa ambazo zinaonyesha hatari kubwa ya sherehe zenye kuvuruga na uharibifu wa mali.
Ulinzi dhidi ya uharibifu wa USD milioni 3
Airbnb inakufidia kutokana na uharibifu uliosababishwa na wageni kwenye nyumba na mali yako na inajumuisha ulinzi huu maalumu:
Sanaa na vitu vya thamani
Magari na boti
Uharibifu unaosababishwa na mnyama kipenzi
Kupotea kwa mapato
Usafi wa kina
Bima ya dhima ya USD Milioni 1
Unalindwa katika tukio nadra ambapo mgeni anajeruhiwa au mali yake kuharibiwa au kuibwa.
Mawasiliano ya usalama saa 24
Endapo utahofia usalama wako, programu yetu itakupa ufikiaji wa kubofya mara moja kwa maafisa wa usalama waliopata mafunzo mahususi, mchana au usiku.

Ulinganisho unategemea taarifa ya umma na matoleo ya bila malipo ya washindani wakuu kufikia tarehe 22 Oktoba. Pata maelezo na vighairi hapa.

Pata maelezo zaidi

Tunakuletea fleti zinazofaa kwenye Airbnb

Fleti za Park 12
San Diego, California
Fleti za Mji wa Kale
Scottsdale, Arizona
Fleti za 525 Olive
San Diego, California
Tumeshirikiana na majengo ya fleti kote nchini Marekani ambayo yanakuruhusu upangishe nyumba ya kuishi na kuitangaza kwa muda kwenye Airbnb. Angalia fleti zinazopatikana na ujue pesa unazoweza kujipatia.

Maswali yako,
yamejibiwa

Wageni wa Airbnb wanapendezwa na maeneo ya kila aina. Tuna matangazo ya vijumba, nyumba za mbao, nyumba za kwenye mti na kadhalika. Hata chumba cha ziada kinaweza kuwa sehemu nzuri ya kukaa.
Hupaswi hata kidogo, unadhibiti kalenda yako. Unaweza kukaribisha wageni mara moja kwa mwaka, usiku kadhaa kwa mwezi au mara nyingi zaidi.
Uamuzi ni wako. Baadhi ya Wenyeji wanapendelea kuwatumia wageni ujumbe katika nyakati muhimu pekee, kama vile kutuma ujumbe mfupi wanapoingia, ilhali wengine pia wanafurahia kukutana na wageni wao ana kwa ana. Utapata mtindo unaokufaa pamoja na wageni wako.
Kufahamu mambo ya msingi kunaweza kusaidia sana. Dumisha usafi katika eneo lako, wajibu wageni haraka na utoe vistawishi muhimu, kama vile taulo safi. Baadhi ya Wenyeji wanapenda kuongeza mguso wa kibinafsi, kama vile kuweka maua safi au kushiriki orodha ya maeneo ya kuvinjari katika eneo lao, lakini haihitajiki. Endelea kusoma ili upate vidokezi zaidi vya kukaribisha wageni
Airbnb kwa kawaida hukusanya ada ya huduma isiyobadilika ya asilimia 3 ya jumla ndogo ya nafasi iliyowekwa unapolipwa. Pia tunakusanya ada kutoka kwa wageni wanapoweka nafasi. Katika maeneo mengi, Airbnb hukusanya na kulipa kodi za mauzo na utalii kiotomatiki kwa niaba yako pia. Pata maelezo zaidi kuhusu ada

Bado una maswali?

Pata majibu kutoka kwa Mwenyeji Bingwa mzoefu aliye karibu nawe.