Wakati wa kulipia nafasi uliyoweka
Umeweka nafasi—hongera! Ni kipi kitakachofuata? Njia yako ya malipo itatozwa mara baada ya nafasi uliyoweka kuthibitishwa (bila kujumuisha amana za ulinzi). Hii inatumika pia kwa Kuweka Nafasi Papo Hapo.
Haijalishi ni mapema kiasi gani ambapo unaweka nafasi, Mwenyeji hapokei malipo hadi saa 24 baada ya wakati wako wa kuingia ulioratibiwa. Hii inawapa nyote wawili muda wa kuhakikisha kwamba kila kitu kipo kama ilivyotarajiwa.
Mpango wa malipo
Ukichagua mpango wa malipo, utalipa sehemu ya jumla baada ya uthibitisho na salio lililobaki litatozwa kiotomatiki kwenye tarehe iliyoorodheshwa (zilizoorodheshwa) wakati wa kulipa.
Nafasi zilizowekwa za muda mrefu
Kwa nafasi zilizowekwa za usiku 28 au zaidi, utatozwa malipo ya awali ya mwezi wa kwanza baada ya kuthibitishwa. Baada ya hapo, utatozwa kila mwezi. Unaweza kutathmini tarehe za malipo yako ya kila mwezi wakati wa kulipa. Pata maelezo zaidi kuhusu kulipia nafasi zilizowekwa za muda mrefu.
Malipo yaliyoratibiwa
Ili kuangalia ni lini utatozwa malipo yanayokuja, baada ya risiti yako kutolewa:
- Nenda kwenye Safari kisha uchague safari unayotaka kuangalia
- Chini ya Umeweka nafasi gani, chagua nafasi uliyoweka
- Chini ya Taarifa ya malipo, bofya Pata risiti
- Chini ya Maelezo yako ya malipo, nenda kwenye Malipo yaliyoratibiwa
- Nenda kwenye Safari
kisha uchague safari unayotaka kubadilisha

- Chini ya Umeweka nafasi gani, bofya nafasi uliyoweka
- Chini ya Taarifa ya malipo, bofya Pata risiti
- Chini ya Maelezo yako ya malipo, nenda kwenye Malipo yaliyoratibiwa
Makala yanayohusiana
- Kulipia safari yakoUnatozwa lini kwa ajili ya nafasi iliyowekwa? Utafanya nini ikiwa huwezi kukamilisha muamala wako? Hebu tuchanganue stakabadhi za kifedha na…
- MgeniMipango ya malipoUtalipia sehemu ya nafasi uliyoweka baada ya uthibitishwaji wa nafasi iliyowekwa na malipo ya baadaye yatakatwa kiotomatiki kwenye tarehe zi…
- MgeniNjia za malipo zimekubaliwaSisi tunaunga mkono njia tofauti za malipo ikitegemea nchi ambayo akaunti yako ya malipo iko.