Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Utaratibu wa malipo

  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Kulipa na kuwasiliana kupitia Airbnb

    Kulipa na kuwasiliana kupitia Airbnb husaidia kuhakikisha kuwa unalindwa chini ya hatua zote za usalama za Wenyeji na wageni wetu.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Wakati wa kulipia nafasi uliyoweka

    Wakati hutofautiana kulingana na aina ya nafasi unayoweka na eneo la sehemu ya kukaa.
  • Jinsi ya kufanya

    Jinsi Kituo cha Usuluhishi kinavyokusaidia

    Kituo cha Usuluhishi hukuwezesha kuomba au kutuma pesa kwa masuala yanayohusiana na safari yako ya Airbnb. Wageni na Wenyeji wanaweza kuomba Airbnb msaada wa kufikia makubaliano.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Mipango ya malipo

    Utalipia sehemu ya nafasi uliyoweka baada ya uthibitishwaji wa nafasi iliyowekwa na malipo ya baadaye yatakatwa kiotomatiki kwenye tarehe zilizoorodheshwa katika ukurasa wa kutoka.
  • Masharti ya kisheria • Mgeni

    Mipango ya malipo nchini Brazili

    Utalipia sehemu ya nafasi uliyoweka baada ya uthibitishaji wa nafasi iliyowekwa na malipo ya baadaye yatakatwa kiotomatiki kwenye tarehe zilizoorodheshwa katika ukurasa wa kukamilisha malipo.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Ikiwa Mwenyeji anaomba pesa zaidi

    Maelezo yote ya bei yanatiwa ndani unapoweka nafasi kwa kutumia Airbnb. Kuna hali kadhaa ambazo ni tofauti.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Nini kinatokea kwenye malipo yako wakati ombi la kuweka nafasi limekataliwa au limekwisha muda wake

    Ikiwa ombi lako la kuweka nafasi limekataliwa na Mwenyeji au muda wake umekwisha, idhini iliyowekwa kwenye njia yako ya malipo itaondolewa au ikiwa njia yako ya malipo ilikuwa tayari imetozwa, utarejeshewa fedha.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Lipia ukaaji unaoanzia mwezi mmoja

    Kwa ukaaji unaoanzia mwezi mmoja (usiku 28 au zaidi), utatozwa malipo ya mwezi wa kwanza na kiasi kilichosalia kitakusanywa kwa awamu za kila mwezi.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Wasilisha taarifa kwa ajili ya uthibitishaji wa malipo

    Kwenye kompyuta ya mezani au kipakatalishi, taarifa yako ya bili inaweza kupakiwa kama PDF au picha. Kwenye kifaa cha mkononi, inaweza kupakiwa kama picha.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Kuwapa bakshishi Wenyeji wa matukio

    Hakuna haja ya kutoa bakshishi kwani Wenyeji huweka bei kamili ya kulipia gharama zao, lakini wakati wote inathaminiwa sana ukitoa tathmini ya kweli.
  • Jinsi ya kufanya • Mgeni

    Kulipia nafasi zilizowekwa nchini India

    Kadi za mkopo za India zinahitaji uthibitishaji wa hatua mbili, kwa hivyo wageni wanaokaa huko hutozwa kwa ajili ya gharama kamili ya nafasi iliyowekwa wanapowasilisha ombi la safari.