Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Kulipia uwekaji nafasi

Utaratibu wa malipo

  • Jinsi ya kufanya

    Kulipa na kuwasiliana kupitia Airbnb

    Kulipa na kuwasiliana kupitia Airbnb husaidia kuhakikisha kuwa unalindwa chini ya hatua zote za usalama za Wenyeji na wageni wetu.
  • Jinsi ya kufanya

    Wakati wa kulipia nafasi uliyoweka

    Wakati hutofautiana kulingana na aina ya nafasi unayoweka na eneo la sehemu ya kukaa.
  • Jinsi ya kufanya

    Jinsi Kituo cha Usuluhishi kinavyokusaidia

    Kituo cha Usuluhishi hukuwezesha kuomba au kutuma pesa kwa masuala yanayohusiana na safari yako ya Airbnb. Wageni na Wenyeji wanaweza kuomba…
  • Jinsi ya kufanya

    Mipango ya malipo

    Utalipia sehemu ya nafasi uliyoweka baada ya uthibitishwaji wa nafasi iliyowekwa na malipo ya baadaye yatakatwa kiotomatiki kwenye tarehe zi…
  • Masharti ya kisheria

    Mipango ya malipo nchini Brazili

    Utalipia sehemu ya nafasi uliyoweka baada ya uthibitishaji wa nafasi iliyowekwa na malipo ya baadaye yatakatwa kiotomatiki kwenye tarehe zil…
  • Jinsi ya kufanya

    Ikiwa Mwenyeji anaomba pesa zaidi

    Maelezo yote ya bei yanatiwa ndani unapoweka nafasi kwa kutumia Airbnb. Kuna hali kadhaa ambazo ni tofauti.
  • Jinsi ya kufanya

    Malipo na maombi ya safari yaliyokataliwa

    Ikiwa ombi lako la safari halikubaliwi na Mwenyeji au linaisha muda wake bila jibu, hakuna gharama yoyote kwenye nafasi hiyo iliyowekwa.
  • Jinsi ya kufanya

    Lipia ukaaji unaoanzia mwezi mmoja

    Kwa ukaaji unaoanzia mwezi mmoja (usiku 28 au zaidi), utatozwa malipo ya mwezi wa kwanza na kiasi kilichosalia kitakusanywa kwa awamu za kil…
  • Jinsi ya kufanya

    Wasilisha taarifa kwa ajili ya uthibitishaji wa malipo

    Kwenye kompyuta ya mezani au kipakatalishi, taarifa yako ya bili inaweza kupakiwa kama PDF au picha. Kwenye kifaa cha mkononi, inaweza kupak…
  • Jinsi ya kufanya

    Kuwapa bakshishi Wenyeji wa matukio

    Hakuna haja ya kutoa bakshishi kwani Wenyeji huweka bei kamili ya kulipia gharama zao, lakini wakati wote inathaminiwa sana ukitoa tathmini …
  • Jinsi ya kufanya

    Nafasi zinazowekwa nchini India

    Kadi za mkopo za India zinahitaji uthibitishaji wa hatua mbili, kwa hivyo wageni wanaokaa huko hutozwa kwa ajili ya gharama kamili ya nafasi…

Njia za malipo

Utatuzi wa matatizo ya malipo