MPANGILIO

Jinsi ya kuanza kukaribisha wageni

Kutangaza nyumba kwenye Airbnb hakujawahi kuwa rahisi au rahisi kubadilisha upendavyo. Uko hatua chache tu ili kupata pesa na kufikia mamilioni ya wasafiri wa ulimwengu.

Kutangaza nyumba kwenye Airbnb hakujawahi kuwa rahisi au rahisi kubadilisha upendavyo. Uko hatua chache tu ili kupata pesa na kufikia mamilioni ya wasafiri wa ulimwengu.

Dhibiti jinsi unavyokaribisha wageni

Karibisha wageni kila unapotaka

Hakuna kiwango cha chini au cha lazima cha kuwa mwenyeji, kwa hivyo unaweza kuzuia tarehe wakati haupatikani. Unaweza pia kuweka sheria kuhusu upatikanaji wako, pamoja na: • Kiwango cha chini / juu cha usiku ambacho mgeni anaweza kukaa • Mapema kiasi gani mgeni anaweza kuweka nafasi • ilani ya mapema inayohitajika kabla ya uwekaji nafasi

Weka bei unayoitaka

Unaweza kuchagua bei zako za usiku, na zana zetu za kuweka bei zinaweza kukusaidia kuamua. Unaweza pia kuongeza maelezo kwa urahisi kama: • ada ya Kusafisha • punguzo za kila wiki • Bei maalum kwa nyakati maalum za mwaka

Ratibu haraka kalenda

Ili kuzuia kuwekewa nafasi wakati huwezi kuwa mwenyeji au wakati unauwekaji nafasi unaoendelea, unaweza kuunganisha kalenda yako ya Airbnb na kalenda zako nyingine. Hii inakuruhusu kuzifanya kalenda zote kwenda na wakati moja kwa moja.

Anzisha sheria za sehemu yako

Ili kusaidia kuweka matarajio, unaweza kuongeza Sheria za Nyumba ambazo wageni lazima wakubali kabla ya kuweka nafasi. Ikiwa mgeni atakiuka sheria baada ya kuweka nafasi, unaweza kughairi uwekaji nafasi bila adhabu.

Kuanza ilikuwa rahisi sana kuliko nilivyotarajia.
Kuanza ilikuwa rahisi sana kuliko nilivyotarajia.

JB na Ramona hukaribisha wageni Boston kupata pesa za ziada kwa ajili ya kustaafu.

JB na Ramona hukaribisha wageni Boston kupata pesa za ziada kwa ajili ya kustaafu.

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni
Kuanza ilikuwa rahisi sana kuliko nilivyotarajia.
Kuanza ilikuwa rahisi sana kuliko nilivyotarajia.

JB na Ramona hukaribisha wageni Boston kupata pesa za ziada kwa ajili ya kustaafu.

JB na Ramona hukaribisha wageni Boston kupata pesa za ziada kwa ajili ya kustaafu.

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni

Tangaza kwa mamilioni ya watu

Mwongozo wa kukusaidia kuweka mambo sawa

Unapokuwa unaunda orodha yako, tutakuuliza maswali ambayo wageni wanataka kujua kuhusu kuweka nafasi. Utaelezea nyumba yako, kutoa maelezo kama kipi ni cha maalum kuhusu sehemu hiyo, pamoja na tofauti zozote za kuzitarajia.

Vidokezo njiani

Ikiwa kuna shida kupata uwekaji nafasi, tutakushauri kuhusu bei, mipangilio, na maboresho mengine yanayoweza kukusaidia kupata uwekaji nafasi kwa haraka. Na wenyeji wenye uzoefu katika Kituo chetu cha Jumuiya wanaweza kusaidia pia.

Mamilioni ya wageni ulimwenguni

Mara tu ukikamilisha tangazo lako, wageni kutoka sehemu zote wanaweza kuiona nyumba yako katika matokeo ya utafutaji. Kuna wageni karibu milioni 2 wa Airbnb kila usiku na tuna vifaa vya kukusaidia kupata uwekaji nafasi ambao unakufanyia kazi.

Pata usaidizi wa kukaribisha wageni

Rasilimali kwa wakati wote

Ukiwa mwenyeji, jamii ya Airbnb daima iko tayari kukusaidia. Kwa vidokezo na maoni ya kukusaidia, utapata Kituo cha Msaada kakamvu, wenyeji 375,000 katika Kituo chetu cha Jamii, na zana za kukaribisha wageni.

Rasilimali kwa wakati wote

Ukiwa mwenyeji, jamii ya Airbnb daima iko tayari kukusaidia. Kwa vidokezo na maoni ya kukusaidia, utapata Kituo cha Msaada kakamvu, wenyeji 375,000 katika Kituo chetu cha Jamii, na zana za kukaribisha wageni.

Tuko hapa kwa ajili yako wakati wowote

Timu yetu ya usaidizi duniani kote iko tayari saa 24 siku 7 za wiki kukusaidia kwa simu, barua pepe, na mawasiliano ya moja kwa moja. Timu hii inaweza kukusaidia kwa kila kitu kutoka maswala ya kuunda tangazo lako hadi wasiwasi kuhusu wageni.

Tuko hapa kwa ajili yako wakati wowote

Timu yetu ya usaidizi duniani kote iko tayari saa 24 siku 7 za wiki kukusaidia kwa simu, barua pepe, na mawasiliano ya moja kwa moja. Timu hii inaweza kukusaidia kwa kila kitu kutoka maswala ya kuunda tangazo lako hadi wasiwasi kuhusu wageni.

Zaidi ya watu milioni 2 ni wenyeji kwenye Airbnb na hakuna mtindo wa mwenyeji unaofana na wengine.

Zaidi ya watu milioni 2 ni wenyeji kwenye Airbnb na hakuna mtindo wa mwenyeji unaofana na wengine.

Kujibiwa maswali yako

Je, inagharimu kiasi gani kutangaza sehemu yangu?

Kujiandikisha kwenye Airbnb na kutangaza nyumba yako hakulipiwi ada yoyote kabisa. Pindi tu unapopata uwekaji nafasi, tunatoza ada ya huduma ya Airbnb ya kuwakaribisha wageni, kwa kawaida ni 3%, ili kusimamia gharama za kuendesha biashara.

Ni jinsi gani ninaweza kuchagua bei ya tangazo langu?

The price you charge for your listing is completely up to you. To help you decide, you can search for comparable listings in your city or neighborhood to get an idea of market prices.

Additional Fees

  • Cleaning fee: You can either incorporate a cleaning fee into your nightly price or you can add a cleaning fee in your pricing settings.
  • Other fees: To charge extra fees outside of your rates (like a late check-in or pet fee), you must first disclose these potential charges to guests prior to booking and then use our Resolution Center to securely request payment for additional fees.
Airbnb inawezaje kunisaidia katika kupanga bei?

Nyenzo ya Upangaji Bei Kiotomatiki hukuruhusu kuweka bei yako kwenda moja kwa moja juu au chini kwa msingi wa mabadiliko katika mahitaji ya matangazo kama yako.

Nyakati zote wewe huwajibika kwa bei yako, kwa hivyo Upangaji Bei Kiotomatiki unadhibitiwa na mipangilio mingine ya bei unayochagua, nawe unaweza kurekebisha bei za usiku wakati wowote.

Upangaji Bei Kiotomatiki unategemea aina na eneo la tangazo lako, msimu, mahitaji na mambo mengine (kama matukio katika sehemu yako).

Ni nini kinachohitajika kwa wageni kabla ya kuweka nafasi?

Tunaomba kila mtu anayetumia Airbnb kutupa taarifa fulani kabla ya kusafiri nasi. Wageni wanahitaji kujaza taarifa hii kikamilifu kabla ya kutuma ombi la kuweka nafasi. Taarifa hizo husaidia kuhakikisha kuwa unamjua mtu anayekuja, na jinsi ya kuwasiliana na mgeni.

Mahitaji ya Airbnb kwa wageni ni pamoja na: • Jina kamili • Anwani ya barua pepe • Nambari ya simu iliyothibitishwa • Ujumbe wa utambulisho • Kukubaliana na Sheria za Nyumba yako • Taarifa za malipo

Wageni wanatarajiwa kuwa na picha ya wasifu, ingawa hilo si takwa. Unaweza pia kuwahitaji wageni kutoa kitambulisho kabla ya kuweka nafasi kwako.

Nifanyeje ikiwa nina wasiwasi kukaribisha mtu?

Iwapo mgeni anakiuka moja kati ya Sheria za Nyumba ambazo umeweka au amekufanya usijihisi salama kupitia vitendo vyao, unaweza kukataa ombi lao la kuweka nafasi au kughairi uwekaji nafasi. Kabla hujakubali uwekwaji wa nafasi Tuna mikakati iliyopo ili kuhakikisha unapokea wageni wanaostahiki. Baada ya kusema hivyo, unaweza kukataa ombi la mtu binafsi la kuweka nafasi na haitaathiri vibaya uwekaji wa tangazo lako katika matokeo ya utafutaji. Baada ya kukubali uwekaji nafasi, iwapo umeshakubali uwekaji nafasi, unaweza kughairi. Unaweza kuwa sababu ya adhabu ya kughairishwa iwapo mgeni hajavunja Sheria yoyote ya Nyumba.

Je, nina kinga gani dhidi ya uharibifu wa nyumba?

Garantii ya Mwenyeji wa Airbnb hutoa ulinzi kwa hadi $1,000,000 kwa mwenyeji kwa uharibifu wa mali iliyowekewa bima katika hali nadra ambapo uharibifu wa mgeni uko juu ya amana ya ulinzi au ikiwa amana ya ulinzi haijawekwa.

Mpango wa Garantii ya Mwenyeji haishughulikii pesa taslimu au hisa, vitu vya kukusanywa, sanaa adimu, vito, wanyama vipenzi au dhima ya mtu binafsi. Tunapendekeza wenyeji waweke vitu vyao vya thamani mahali salama au waviondoe wanapopangisha nyumba yao. Mpango huo pia haushughulikii upoteaji au uharibifu wa mali kwa sababu ya uchakavu unaotokana na matumizi.

Pata maelezo zaidi juu ya Garantii ya Mwenyeji kwenye http://airbnb.com/guarantee

Uko tayari kujichumia mapato?

Uko tayari kujichumia mapato?