USALAMA

Jinsi Airbnb hulinda wenyeji

Tumechukua hatua madhubuti kuhakikisha usalama wako, nyumba yako, na wageni wako.

Tumechukua hatua madhubuti kuhakikisha usalama wako, nyumba yako, na wageni wako.

Karibisha wageni mashuhuri

Tathmini ya haki ya pande mbili

Ili kusaidia kujenga uaminifu na sifa nzuri kwenye Airbnb, wageni na wenyeji wanapeana tathmini baada ya kukamilika kwa uwekaji nafasi. Kabla ya kumkaribisha mgeni, unaweza kuangalia tathmini yao kutoka kwa wenyeji wengine.

Mawasiliano rahisi ya mgeni

Ikiwa unataka kuuliza maswali au kuweka matarajio kabla ya kukaa, unaweza kuwafahamu wageni mapema kwa kutumia zana yetu ya ujumbe salama.

Mahitaji ya kuweka nafasi

Unaweza kuhitaji kwamba kila mgeni atoe kitambulisho kwa Airbnb kabla ya kuweka nafasi. Pia utapata fursa ya kutathmini mapema uwekaji nafasi au kuongeza udhibiti wa ziada juu ya nani anayeweza kuweka nafasi. Kwa uhakiki zaidi, kila uwekaji nafasi wa Airbnb unapewa alama kwa ajili ya hatari na tunaondoa uwekaji nafasi wowote unaoonekana kuwa wa mashaka.

Sehemu yako, sheria zako

Ili kusaidia kuweka matarajio, unaweza kuongeza Sheria za Nyumba ambazo wageni wanakubali kabla ya uwekaji nafasi, kwa mfano kuzuia uvutaji sigara na sherehe. Ikiwa mgeni atakiuka moja ya sheria hizi mara baada ya kuweka nafasi, unaweza kughairisha uwekaji nafasi.

Je, ada zetu zinalinganishwaje?
Airbnb
Kama nyumbani
Booking.com
Ada ya huduma ya mwenyeji (kwa kila uwekaji nafasi)
3-5%
5%
15-20%
Mara zote kutangaza bure
Hakuna ada ya kuchakata kadi ya mkopo
Ulinzi wa $1M kwa ajili ya uharibifu wa nyumba yako umejumuishwa
Mara ya mwisho ilisasishwa Juni 2018
Nimejifunza kuwa watu ni wema. Ninaweza kuwaamini watu.
Nimejifunza kuwa watu ni wema. Ninaweza kuwaamini watu.

Milaida hukaribisha wageni Puerto Rico ili kupata fedha za ziada.

Milaida hukaribisha wageni Puerto Rico ili kupata fedha za ziada.

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni
Nimejifunza kuwa watu ni wema. Ninaweza kuwaamini watu.
Nimejifunza kuwa watu ni wema. Ninaweza kuwaamini watu.

Milaida hukaribisha wageni Puerto Rico ili kupata fedha za ziada.

Milaida hukaribisha wageni Puerto Rico ili kupata fedha za ziada.

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni

Karibisha wageni kwa ujasiri

Kinga ya uharibifu wa mali ya $ 1,000,000

Katika hali nadra ya uharibifu wa mali, Garantii ya mwenyeji ya Airbnb hutoa kinga ya bure hadi $ 1,000,000 USD katika uharibifu wa mali kwa kila uwekaji nafasi, kila wakati. Madai yanaweza kupelekwa moja kwa moja kupitia Kituo chetu cha Usuluhishi.

Bima dhidi ya ajali

Airbnb pia hutoa Bima ya bure ya Ulinzi wa Mwenyeji ambayo inashughulikia majeraha ya kibinafsi ya hadi $ 1,000,000. Bima hii ni ya tukio lisilotegemewa pale mtu anapofungua madai dhidi yako kwa ajili ya jeraha mwilini au uharibifu wa mali katika tangazo, au kwenye mali ya Airbnb, wakati wa kukaa.

Kinga ya bure kabisa
Inatumika moja kwa moja kwenye kila uwekaji nafasi
Madai yanaweza kuwasilishwa moja kwa moja kupitia Airbnb

Tuko hapa kwa ajili yako wakati wowote

Kile timu yetu inaweza kukufanyia

Timu yetu ya usaidizi duniani kote iko tayari wakati wowote kukusaidia kwa simu, barua pepe, na mawasiliano ya moja kwa moja.

Msaada wa kuweka nafasi tena
Kurejesha Fedha
Kufidia
Garantii ya mwenyeji na madai ya bima
Upatanishi

Wasafiri walifanya safari milioni 49 kwa kutumia Airbnb mwaka wa 2017. Ni moja tu kati ya 25,000 ndiyo ilikuwa na madai makubwa ya uharibifu wa mali.

Wasafiri walifanya safari milioni 49 kwa kutumia Airbnb mwaka wa 2017. Ni moja tu kati ya 25,000 ndiyo ilikuwa na madai makubwa ya uharibifu wa mali.

Tunayajibu maswali yako

Ni nini kinachohitajika kwa wageni kabla ya kuweka nafasi?

Tunaomba kila mtu anayetumia Airbnb kutupa taarifa fulani kabla ya kusafiri nasi. Wageni wanahitaji kujaza taarifa hii kikamilifu kabla ya kutuma ombi la kuweka nafasi. Taarifa hizo husaidia kuhakikisha kuwa unamjua mtu anayekuja, na jinsi ya kuwasiliana na mgeni.

Mahitaji ya Airbnb kwa wageni ni pamoja na: • Jina kamili • Anwani ya barua pepe • Nambari ya simu iliyothibitishwa • Ujumbe wa utambulisho • Kukubaliana na Sheria za Nyumba yako • Taarifa za malipo

Wageni wanatarajiwa kuwa na picha ya wasifu, ingawa hilo si takwa. Unaweza pia kuwahitaji wageni kutoa kitambulisho kabla ya kuweka nafasi kwako.

Je, tathmini zinafanya kazi vipi?

Tathmini zote kwenye Airbnb zimeandikwa na wenyeji na wasafiri kutoka kwenye jamii yetu, kwa hivyo tathmini yoyote unayoiona inatokana na ukaaji ambao mgeni alikuwa nao katika nyumba ya mwenyeji. Una siku 14 baada ya kutoka kuandika tathmini ya ukaaji na unaweza kubadilisha tathmini yako hadi masaa 48 baada ya kuwasilisha, isipokuwa mgeni wako atakapokamilisha ukaguzi wao. Pindi tu mnapokamilisha tathmini yenu, au siku 14 ziwe zimepita, tathmini huchapishwa. Unaweza kupata tathmini zako kutoka kwa wageni wakati wowote ule na wakati unapowekewa nafasi ya mgeni, unaweza kuangalia tathmini yake kutoka kwa wenyeji wa awali.

Nifanye nini ikiwa mgeni wangu atavunja kitu nyumbani kwangu?

Iwapo mgeni atavunja kitu na unahitaji kudai, unaweza kufanya hivyo katika Kituo chetu cha Suluhu kati ya siku 14 za tarehe ya kuondoka kwa mgeni wako au kabla ya mgeni mwingine kuingia, hali yoyote itakayotokea mapema. Iwapo mgeni wako anakubaliana na kiasi cha pesa ulichokiomba, tutatuma malipo yako katika siku 5-7 za biashara. Mgeni wako akikataa au asipojibu ndani ya saa 72, unaweza kuhusisha Airbnb katika suala hilo. Iwapo tunahitaji nyaraka za ziada, utakuwa na saa 72 za kutoa nyaraka hizi. Madai mengi yatatatuliwa ndani ya wiki moja. Tutahakikisha kuwa wewe na mgeni wako mmewakilishwa kwa haki, na tukibaini kwamba unadai fedha, tutatuma malipo kwa njia tofauti.

Nifanyeje ikiwa nina wasiwasi kukaribisha mtu?

Ikiwa mgeni anavunja moja kati ya Sheria za Nyumba ambazo umeweka au amekufanya uhisi si salama kupitia vitendo vyake, unaweza kukataa ombi lao la kuweka nafasi au kughairi uwekaji nafasi. Kabla ya kukubali uwekaji nafasi unaweza kukataa ombi la mtu binafsi la kuweka nafasi na haitaathiri vibaya nafasi ya tangazo lako katika matokeo ya utafutaji. Ikiwa unakataa maombi mengi ya uwekaji nafasi, nafasi yako katika matokeo ya utafutaji inaweza kuathirika vibaya. Baada ya kukubali uwekaji nafasi, Ikiwa umeshakubali uwekaji nafasi, unaweza kughairi. Unaweza kupewa adhabu ya kughairi ikiwa mgeni hakuvunja Sheria yoyote ya Nyumba.

Kuna tofauti gani kati ya Garantii ya Mwenyeji wa Airbnb na Bima ya Ulinzi ya Mwenyeji?

The Host Guarantee is designed to protect you in rare instances of property damage to your own possessions, unit, or home by a guest staying in the space. Host Protection Insurance is designed to protect you in the event that someone else (for example, a guest) claims bodily injury or property damage. The Host Guarantee isn’t insurance and doesn’t replace your homeowner’s or renter’s insurance. Host Protection Insurance is insurance and is available to you regardless of your other insurance arrangements. It will only act as primary insurance coverage for incidents related to an Airbnb stay.

Learn more about our Host Guarantee

Learn more about Host Protection Insurance

Uko tayari kuanza kukaribisha wageni?

Uko tayari kuanza kukaribisha wageni?