Ni rahisi kutangaza nyumba yako kwenye Airbnb

Simu mbili zimepangwa moja juu ya nyingine. Moja inaonyesha hatua ya kwanza ya kutangaza nyumba yako, nyingine inaonyesha vistawishi ambavyo mwenyeji anaweza kuchagua.
Unda tangazo la sehemu yako kwa hatua chache tu
Nenda kwa kasi yako mwenyewe na ufanye mabadiliko wakati wowote
Pata usaidizi wa ana kwa ana kutoka kwa wenyeji wazoefu wakati wowote
Nembo ya AirCover kwa ajili ya Wenyeji

Unapokaribisha wageni, unalindwa

Ulinzi kamili, unajumuishwa kila unapokaribisha wageni kwenye nyumba yako kwenye Airbnb.
Hadi USD milioni 3 za ulinzi wa uharibifu
Hadi USD milioni 1 ya bima ya dhima
Mawasiliano ya usalama saa 24
Ulinzi Dhidi ya Uharibifu kwa Mwenyeji hufidia uharibifu fulani wa mgeni wakati wa ukaaji wa Airbnb. Si bima na inaweza kutumika ikiwa wageni hawatalipa. Bima ya dhima hutolewa na wahusika wengine. Angalia maelezo na vighairi.

Pata zana zote unazohitaji ili kukaribisha wageni

Maswali yako yajibiwa

Bado una maswali?

Pata majibu kutoka kwa mwenyeji mkazi mzoefu.

Wenyeji kwenye Mtandao wa Wenyeji Wenza kwa kawaida wana ukadiriaji wa juu, viwango vya chini vya kughairi na uzoefu thabiti wa kukaribisha wageni wa Airbnb. Ukadiriaji unategemea tathmini za wageni kwa matangazo wanayokaribisha wageni au kushirikiana kukaribisha wageni na huenda usiwakilishe huduma za kipekee za mwenyeji mwenza.

Mtandao wa Wenyeji Wenza unaendeshwa na Airbnb Global Services Limited, Airbnb Living LLC na Airbnb Plataforma Digital Ltda. Unapatikana katika maeneo mahususi pekee. Pata maelezo zaidi.