Earn extra money on Airbnb

Gundua kiasi unachoweza kupata

Earn extra money on Airbnb

Gundua kiasi unachoweza kupata

Put your home to work

No matter what kind of home or room you have to share, you can increase your earnings with Airbnb. You control your availability, and our Smart Pricing tool helps you maximize your earnings.

Screen guests quickly

Get to know guests before they stay by reading reviews from other hosts. To keep you, your home, and your belongings safe, we cover every booking with $1M USD in property damage protection.

Kukaribisha wageni katika hatua 3

Tangaza sehemu yako bila malipo

Shiriki nafasi yoyote bila kutozwa fedha za kujisajili, kutoka kwa chumba cha kukaa cha pamoja hadi nyumba ya pili na chochote kilicho kati.

Chagua jinsi unavyotaka kukaribisha wageni

Chagua ratiba yako mwenyewe, bei, na mahitaji kwa wageni. Tuko hapa kukusaidia mpaka mwisho.

Mkaribishe mgeni wako wa kwanza

Punde tu tangazo lako litakapoonekana, wageni wanaostahili wanaweza kuwasiliana nawe. Unaweza kuwatumia maswali yoyote kabla ya ukaaji wao kufika.

Guarantii ya Mwenyeji ilinisaidia kuamua nijiunge na Airbnb kwa sababu ikiwa kutatokea uharibifu au matatizo, ninayo mipango ya kunisimamia.

Dennis hukaribisha wageni jijini Londoni kwa sababu ana uhuru wa kubadilisha mambo

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni
Guarantii ya Mwenyeji ilinisaidia kuamua nijiunge na Airbnb kwa sababu ikiwa kutatokea uharibifu au matatizo, ninayo mipango ya kunisimamia.

Dennis hukaribisha wageni jijini Londoni kwa sababu ana uhuru wa kubadilisha mambo

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni

Tunakushughulikia

Tunafahamu ni muhimu kuamini watu wanaoishi nyumbani kwako. Airbnb inakuruhusu kuweka vigezo vikali kuhusu nani anaweza kuweka nafasi na kupata kujua wageni kabla ya kukaa kwao. Ikiwa lakini kuna kitu kitatokea, ltutakusaidia. Tukiwa na Garantii yetu ya wenyeji ikikinga uharibifu wa mali na Bima yetu ya Ulinzi ya Mwenyeji kwa ajili ya majanga, unasaidiwa katika kila eneo.

Uwezo wa kufanya kitambulisho cha serikali kiwe sharti kabla ya kuweka nafasi
Sheria za Nyumba ambazo ni lazima wageni wazikubali
Fursa ya kusoma tathmini kutoka safari zilizopita
Kinga isiyolipishwa ya USD Milioni 1 dhidi ya uharibifu wa nyumba
Bima ya bure ya Dola milioni 1
Msaada kwa wateja duniani kote saa 24

Malipo yamerahisishwa

Toza unachotaka

Kila wakati unachagua bei yako. Unahitaji msaada? Tuna nyenzo za kukusaidia kuendana na mahitaji katika eneo lako.

Lipa ada ya kiwango cha chini

Hakuna gharama ya kujisajili. Kwa kawaida Airbnb hutoza wenyeji asilimia 3 kwa kila uwekaji nafasi, hizi ni kati ya ada za chini zaidi katika tasnia hii.

Pokea malipo haraka

Punde tu mgeni anapoingia, tunaweza kutuma pesa zako kupitia Paypal, kuweka kwenye akaunti yako moja kwa moja, au kupitia njia nyingine zilizopo.

Kuwakaribisha wageni kumenisaidia kulipa usanifu mpya jikoni na maboresho mengine.

Tessa hukaribisha wageni jijini London na kujiongezea kipato

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni
Kuwakaribisha wageni kumenisaidia kulipa usanifu mpya jikoni na maboresho mengine.

Tessa hukaribisha wageni jijini London na kujiongezea kipato

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni

Wenyeji kama wewe, duniani kote

Kuhusu Airbnb

Airbnb ni nini?

Airbnb huunganisha watu na maeneo ya kukaa na mambo ya kufanya duniani kote. Jumuiya hii huwezeshwa na wenyeji, ambao huwapa wageni wao fursa ya kipekee ya kusafiri kama mkazi wa eneo.

Kukaribisha wageni ni nini?

Unaweza kupata pesa zaidi kwa kukaa kwenye chumba au nyumba ya pamoja na wasafiri kutoka kote duniani. Unapokaribisha wageni wako na jinsi unavyoingiliana nao inategemea na maamuzi yako.

Kujibiwa maswali yako

Nani anaweza kuwa mwenyeji wa Airbnb?

Ni rahisi kuwa mwenyeji wa Airbnb katika maeneo mengi na kuweka tangazo ni bure wakati wote. Fleti nzima-nzima na nyumba, vyumba vya kujitegemea, nyumba za kwenye mti na kasri ni baadhi tu ya majengo ambayo wenyeji wameshiriki kwenye Airbnb.

Kwa maelezo zaidi juu ya kile kinachotarajiwa kwa wenyeji, angalia miongozo ya jumuiya ya Airbnb, vinavyozingatia usalama, ulinzi na kuegemeka, na viwango vya ukarimu, ambavyo husaidia wenyeji kupata tathmini nzuri kutoka kwa wageni.

Ni nini kinachohitajika kwa wageni kabla ya kuweka nafasi?

Tunaomba kila mtu anayetumia Airbnb kutupa taarifa fulani kabla ya kusafiri nasi. Wageni wanahitaji kujaza taarifa hii kikamilifu kabla ya kutuma ombi la kuweka nafasi. Taarifa hizo husaidia kuhakikisha kuwa unamjua mtu anayekuja, na jinsi ya kuwasiliana na mgeni.

Mahitaji ya Airbnb kwa wageni ni pamoja na: • Jina kamili • Anwani ya barua pepe • Nambari ya simu iliyothibitishwa • Ujumbe wa utambulisho • Kukubaliana na Sheria za Nyumba yako • Taarifa za malipo

Wageni wanatarajiwa kuwa na picha ya wasifu, ingawa hilo si takwa. Unaweza pia kuwahitaji wageni kutoa kitambulisho kabla ya kuweka nafasi kwako.

Je, inagharimu kiasi gani kutangaza sehemu yangu?

Kujiandikisha kwenye Airbnb na kutangaza nyumba yako ni bila malipo kabisa.

Mara tu mtu anapoweka nafasi kwako, tunatoza ada ya huduma ya Airbnb kwa wenyeji, kwa jumla ni asilimia 3, ili kusaidia kugharimia uendeshaji wa biashara.

Je, nina kinga gani dhidi ya uharibifu wa nyumba?

Garantii ya Mwenyeji wa Airbnb hutoa ulinzi kwa hadi $1,000,000 kwa mwenyeji kwa uharibifu wa mali iliyowekewa bima katika hali nadra ambapo uharibifu wa mgeni uko juu ya amana ya ulinzi au ikiwa amana ya ulinzi haijawekwa.

Mpango wa Garantii ya Mwenyeji haishughulikii pesa taslimu au hisa, vitu vya kukusanywa, sanaa adimu, vito, wanyama vipenzi au dhima ya mtu binafsi. Tunapendekeza wenyeji waweke vitu vyao vya thamani mahali salama au waviondoe wanapopangisha nyumba yao. Mpango huo pia haushughulikii upoteaji au uharibifu wa mali kwa sababu ya uchakavu unaotokana na matumizi.

Pata maelezo zaidi juu ya Garantii ya Mwenyeji kwenye http://airbnb.com/guarantee

Ni jinsi gani ninaweza kuchagua bei ya tangazo langu?

Bei unayotoza kwa tangazo ni uamuzi wako kabisa. Ili kukusaidia kuamua, unaweza kutafuta matangazo yanayofanana na lako katika jiji lako au ujirani ili kupata kujua bei za soko.

Ada za ziada • Ada ya usafi: Unaweza kujumuisha ada ya usafi katika bei yako ya kila usiku au unaweza kuongeza ada ya usafi katika mipangilio yako ya bei. Ada nyingine: Ili kutoza ada za ziada nje ya viwango vyako (kama ada ya kuchelewa kuingia au ada ya mnyama kipenzi), lazima kwanza uwafichulie wageni tozo kama hizo kabla hawajaweka nafasi kisha utumie Kituo chetu Usuluhishi ili kuomba kwa usalama malipo ya ada ya ziada.

Airbnb inawezaje kunisaidia katika kupanga bei?

Nyenzo ya Upangaji Bei Kiotomatiki hukuruhusu kuweka bei yako kwenda moja kwa moja juu au chini kwa msingi wa mabadiliko katika mahitaji ya matangazo kama yako.

Nyakati zote wewe huwajibika kwa bei yako, kwa hivyo Upangaji Bei Kiotomatiki unadhibitiwa na mipangilio mingine ya bei unayochagua, nawe unaweza kurekebisha bei za usiku wakati wowote.

Upangaji Bei Kiotomatiki unategemea aina na eneo la tangazo lako, msimu, mahitaji na mambo mengine (kama matukio katika sehemu yako).

Uko tayari kujichumia mapato?