MAMBO YA FEDHA

Jinsi ya kuchuma pesa kwenye Airbnb

Ukiwa na Airbnb, furahia mfumo wa malipo usio na usumbufu, ada za chini, na uhuru juu ya kile unachotoza.

Ukiwa na Airbnb, furahia mfumo wa malipo usio na usumbufu, ada za chini, na uhuru juu ya kile unachotoza.

Tupatie maelezo mafupi kuhusu eneo lako

Malipo rahisi, bila vikwazo

Lipwa upendavyo - kwa njia kama Paypal, amana moja kwa moja, au nyinginezo kulingana na eneo lako.

Lipwa upendavyo - kwa njia kama Paypal, amana moja kwa moja, au nyinginezo kulingana na eneo lako.

Tangaza sehemu yako bila malipo

Tangazia mamilioni ya wasafiri bila gharama ya usajili au ada za uanachama-hakuna malipo ya kujisajili au ada ya ushirika.

Pokea uwekaji nafasi

Airbnb inamtoza kila mgeni kabla ya kuwasili ili kuhakikisha kuwa kila mara utalipwa kwa wakati unapokaribisha wageni. Hauhitaji kushughulikia pesa moja kwa moja.

Lipwa baada ya kuingia

Kwa kawaida Airbnb hutuma malipo yako kama saa 24 baada ya muda rasmi wa kuingia kwa mgeni kunakwenda vizuri.

Je, ada zetu zinalinganishwaje?
Airbnb
Kama nyumbani
Booking.com
Ada ya huduma ya mwenyeji (kwa kila uwekaji nafasi)
3-5%
5%
15-20%
Mara zote kutangaza bure
Hakuna ada ya kuchakata kadi ya mkopo
Ulinzi wa $1M kwa ajili ya uharibifu wa nyumba yako umejumuishwa
Mara ya mwisho ilisasishwa Juni 2018
Tunaweza kutenga kiwango kidogo kwa ajili ya kustaafu na kwa ajili ya ada za shule kwa ajili ya watoto wetu wote.
Tunaweza kutenga kiwango kidogo kwa ajili ya kustaafu na kwa ajili ya ada za shule kwa ajili ya watoto wetu wote.

JB na Ramona hukaribisha wageni Boston kupata pesa za ziada kwa ajili ya kustaafu.

JB na Ramona hukaribisha wageni Boston kupata pesa za ziada kwa ajili ya kustaafu.

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni
Tunaweza kutenga kiwango kidogo kwa ajili ya kustaafu na kwa ajili ya ada za shule kwa ajili ya watoto wetu wote.
Tunaweza kutenga kiwango kidogo kwa ajili ya kustaafu na kwa ajili ya ada za shule kwa ajili ya watoto wetu wote.

JB na Ramona hukaribisha wageni Boston kupata pesa za ziada kwa ajili ya kustaafu.

JB na Ramona hukaribisha wageni Boston kupata pesa za ziada kwa ajili ya kustaafu.

Pata maelezo kuhusu wanavyokaribisha wageni

Bei nzuri, kila usiku

Ushauri wa kuaminika wa kupanga bei

Unachotoza kila wakati ni juu yako. Ikiwa unataka msaada, tuna vifaa vinavyolingana na bei yako na mahitaji, kuhakikisha bei nzuri kwa kila usiku.

Ushauri wa kuaminika wa kupanga bei

Unachotoza kila wakati ni juu yako. Ikiwa unataka msaada, tuna vifaa vinavyolingana na bei yako na mahitaji, kuhakikisha bei nzuri kwa kila usiku.

Pesa za ziada kwa huduma

Unaweza kuhitaji ada za ziada kabla kwa ajili ya vitu kama vile wageni wa ziada au usafi wa nyumba. Na ikiwa unataka kutoa huduma zingine, kama vile kukodisha vifaa au ziara, wageni wanaweza kukulipa kupitia programu baada ya kuweka nafasi.

Inabadilika sawa na mahitaji yako

Unaweza kuweka bei maalum kwa misimu, wikendi, na usiku mwingine wowote ambapo unataka kudhibiti kile unachotoza. Unaweza pia kutoa punguzo la kila wiki na kila mwezi kwa watu ambao wanatafuta kukaa kwa muda.

Tunayajibu maswali yako

Je, inagharimu kiasi gani kutangaza sehemu yangu?

Kujiandikisha kwenye Airbnb na kutangaza nyumba yako kunafanywa bila malipo kabisa. Pindi tu unapopata uwekaji nafasi, tunatoza ada ya huduma ya Airbnb ya wenyeji, kwa kawaida ikiwa ni asilimia 3, ili kusaidia gharama za kuendesha biashara.

Nitajuaje kiasi cha fedha nitakacholipwa?

Malipo utakayopokea ni kiwango chako cha usiku yakiwa yamepunguzwa ada ya huduma ya mwenyeji, ambayo kwa jumla ni 3%. Wageni hulipa ada ya huduma kwa Airbnb juu ya gharama ya tangazo lako, ndiposa bei ya jumla wanayoona wageni huwa kubwa kuliko malipo yako. Hapa kuna mambo kadhaa ambayo yanaweza kuathiri malipo yako: Punguzo lako la kila wiki au punguzo la kila mwezi linaweza kuwa limetumika kwenye bei ya Wikendi ya uwekaji nafasi au bei mahususi inaweza kuwa imetumika kwa uwekaji nafasi kila inapostahili, Ushuru ulioongezwa wa Thamani (VAT) unaweza kuongezwa juu ya ada ya huduma ya Airbnb

Airbnb inawezaje kunisaidia katika kupanga bei?

Nyenzo ya Upangaji Bei Kiotomatiki hukuruhusu kuweka bei yako kwenda moja kwa moja juu au chini kwa msingi wa mabadiliko katika mahitaji ya matangazo kama yako.

Nyakati zote wewe huwajibika kwa bei yako, kwa hivyo Upangaji Bei Kiotomatiki unadhibitiwa na mipangilio mingine ya bei unayochagua, nawe unaweza kurekebisha bei za usiku wakati wowote.

Upangaji Bei Kiotomatiki unategemea aina na eneo la tangazo lako, msimu, mahitaji na mambo mengine (kama matukio katika sehemu yako).

Je, nitarajie kulipwa lini?

Kwa kawaida Airbnb hufungulia malipo yako takribani saa 24 baada ya muda uliopangwa wa kuingia kwa mgeni wako. Muda unaochukua ili pesa kufika katika akaunti yako hutegemea njia unayochagua ili kufanyiwa malipo. Iwapo mgeni wako anakaa kwa usiku 28 au zaidi, kimsingi Airbnb hutuma malipo kwa mwezi wa kwanza kama saa 24 baada ya muda ulipangiliwa wa kuingia kwa mgeni wako. Kutuma malipo ya ziada kwa kuweka nafasi hutolewa kila mwezi. Iwapo wewe ni mkaribishaji wageni mpya, tunaweza kuzuia malipo yako kwa siku 30 hadi baada ya uwekaji wako wa kwanza wa nafasi utakapothibitishwa. Iwapo uwekaji nafasi wako wa kwanza utatekelezwa siku 30 zijazo, tutakutumia malipo yako saa 24 baada ya kuingia kwa mgeni wako kulikoratibiwa. Hatua hii itahusu malipo yoyote yaliyotarajiwa kulipwa ndani ya siku hizo 30.

Ni jinsi gani ninaweza kuchagua bei ya tangazo langu?

The price you charge for your listing is completely up to you. To help you decide, you can search for comparable listings in your city or neighborhood to get an idea of market prices.

Additional Fees

  • Cleaning fee: You can either incorporate a cleaning fee into your nightly price or you can add a cleaning fee in your pricing settings.
  • Other fees: To charge extra fees outside of your rates (like a late check-in or pet fee), you must first disclose these potential charges to guests prior to booking and then use our Resolution Center to securely request payment for additional fees.
Utaratibu wa kodi uko vipi kwa wenyeji?

Utahitajika kuuliza kwenye serikali ya eneo lako husika iwapo inahitajika au la kukusanya kodi kutoka kwa wageni. Utakapobaini kwamba unahitaji kukusanya kodi, kwa kawaida unaweza ama kuiongezea katika Ofa maalumu wakati wageni wanapoweka nafasi ama uambie wageni wako wailipe moja kwa moja wenyewe. Katika kila hali, ni muhimu kwamba wageni wafahamishwe kuhusu kiwango kamili cha malipo ya kodi kabla ya kuweka nafasi. Ikiwa ungependa kukusanya kodi nje ya viwango vya ada ya tangazo lako, basi inapaswa kukusanywa wanapowasili. Hatuwezi kusaidia au kuhakikisha makusanyo ya kodi. Katika maeneo mengine, mwenyeji wa Airbnb anaweza kuwa na kipengele cha kukusanya na kuwasilisha kodi kinachoweza kushughulikia kodi ya makazi. Wenyeji hawapaswi kukusanya kodi ya makazi peke yake katika maeneo hayo. Pia, katika maeneo mengine, Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) inaweza kuhusika. [Pata maelezo kuhusu VAT] (https://www.airbnb.com/help/article/436/what-is-vat-and-how-does-it-apply-to-me)

Uko tayari kujichumia mapato?

Uko tayari kujichumia mapato?