Kukaribisha wageni
hufanya Airbnb
iwe Airbnb

Kukaribisha wageni kwenye nyumba yangu aina ya studio kumebadilisha maisha yangu na kunipa zawadi ya uzoefu wa kukumbukwa na watu.
Mwenyeji huko Milan
Kukaribisha wageni kwenye nyumba yangu kumenipa fursa ya kuwa mjasiriamali na kuandaa njia ya kufikia uhuru wa kifedha.
Mwenyeji huko Atlanta
Tunaweza kuendeleza utamaduni wetu kwa kuandaa tukio letu la kutengeneza tambi.
Mwenyeji huko Palombara Sabina
Airbnb imeniruhusu kuunda kazi yangu mwenyewe kwa kufanya kile ninachopenda — kuwatunza wageni katika nyumba yetu.
Mwenyeji huko Chiang Mai
Kukaribisha wageni kwenye hema langu aina ya bedouin kumenitambulisha kwa watu ulimwenguni kote.
Mwenyeji huko Wadi Rum
Ninapenda kukaribisha wageni kwenye nyumba yangu ambayo ni rafiki kwa mazingira ili watu waweze kuungana na mazingira ya asili na wapendwa wao.
Mwenyeji huko Paraty

Jaribu kukaribisha wageni kwenye
Airbnb

Jiunge nasi. Tutakusaidia kwenye kila
hatua.