Ripoti tovuti bandia au za ulaghai
Asante kwa kutusaidia kuweka jumuiya yetu salama dhidi ya tovuti za ulaghai za utapeli data. Tovuti hizi zinazofanana na zile halisi zinaweza kutumiwa kuiba taarifa binafsi au kutekeleza ulaghai. Ikiwa unaamini kwamba umepata ukurasa wa wavuti uliobuniwa ili kuonekana kama tovuti ya Airbnb, tafadhali jaza fomu iliyo hapa chini ili uuripoti.
Fomu hii haiundi ombi la msaada la Airbnb au kukutumia uthibitisho. Ikiwa ulipata tovuti ya ulaghai au una wasiwasi kuhusu usalama wa akaunti yako,
wasiliana nasi.