Uaminifu & Usalama

Usalama wako ni kipaumbele chetu

Katika usiku wowote, watu milioni 2 hukaa katika nyumba za Airbnb katika miji 100,000 kote duniani. Kuna matangazo karibu milioni 6 katika nchi 191 za kuchagua-ambazo ni zaidi ya minyororo mitano ya hoteli za hali ya juu.

Je, ni nini kinachofanya hayo yote kuwezekana? Uaminifu.

Usalama kwa kubuni

Airbnb imeundwa na usalama—kwenye mtandao na nje—akilini

Kuwa katika hatari

Kila uwekaji nafasi katika Airbnb unapitiwa kwa hatari kabla ya kuthibitishwa. Tunatumia uchambuzi wa utabiri na mafunzo ya mashine ili kutathmini mara moja mamia ya ishara zinazotusaidia kuripoti na kuchunguza shughuli ya tuhuma kabla itokee.

Maangalizi & uchunguzi

Wakati hakuna mfumo wa uchunguzi ulio kamilifu, huwa tunatathmini wenyeji na wageni kote duniani dhidi ya orodha za udhibiti, ugaidi na vikwazo. Kwa wenyeji na wageni nchini Marekani, sisi pia hufanya ukaguzi wa usuli.

Kuandaa

Tunaendesha warsha za usalama na wenyeji na wakazi wanaoongoza katika utaalamu na kuhamasisha wenyenji kuwapea wageni taarifa muhimu za mitaa. Pia tunampea mwenyeji yeyote anayetaka kifaa cha kutahadharisha juu ya moshi na kaboni monoksaidi bila gharama kwa nyumba yao.

Malipo Salama

Tovuti yetu iliyo salama inahakikisha kwamba pesa yako humfikia mwenyeji—hii ndiyo sababu tunakuuliza uwe unalipa kila wakati kupitia Airbnb na kamwe usitume pesa kwa waya au kulipa mtu moja kwa moja.

Ulinzi wa akaunti

Tunachukua hatua kadhaa za kulinda akaunti yako ya Airbnb, kama kuhitaji njia ya uthibitisho inayohitaji njia mbili au zaidi za uthibitishaji wakati mtu amejaribu kutumia simu nyingine au kompyuta na kukutumia tahadhari za akaunti wakati mabadiliko yanafanywa.

Kuzuia ulaghai

Daima lipa na uwasiliane moja kwa moja kupitia tovuti ya Airbnb au programu-tumizi. Ikiwa unakaa katika Airbnb kwa mfumo wote—kutoka kwa mawasiliano, uhifadhi, hadi malipo—umelindwa na mikakati yetu ya kujihami yenye tabaka nyingi.

Jua vitu vya kutarajia

Tunaifanya iwe rahisi kuelewa zaidi kuhusu nyumba yoyote, tukio, mgeni, au mwenyeji kabla ya kuweka nafasi
Picha ya mpangilio wa skrini ya simu
Picha ya wasifu wa mtumiajiPicha ya wasifu wa mtumiajiPicha ya wasifu wa mtumiaji

Wasifu

Kila mtu kwenye Airbnb ana wasifu ili kuwasaidia wageni wengine au wenyeji kujuana. Ili kuweka nafasi au kukaribisha wageni, utaombwa na Airbnb kutoa jina lako kamili, tarehe ya kuzaliwa, namba ya simu, taarifa ya malipo, na anwani ya barua pepe.

Kutuma ujumbe salama

Chombo cha kutuma ujumbe chetu kilicho salama kinakuwezesha kujua mwenyeji au mgeni na kuuliza maswali kuhusu tangazo au tukio kabla ya wakati. Baada ya uhifadhi kuwekewa nafasi, unaweza kuutumia kutuma ujumbe huku na huku ili kuratibu mambo kama kuingia na maelekezo.

Tathmini

Ikiwa unadadisi kujua kuhusu kile ambacho wengine waliwaza juu ya mgeni, mwenyeji, nyumba, au tukio tarajiwa, vile unapaswa kufanya ni kuangalia tu kwa tathmini zao. Wageni na wenyeji wanaweza tu kutathminiana baada ya uwekaji nafasi, kwa hivyo utajua maoni unayoyaona yanategemea matukio halisi.

Tuko hapa ikiwa unatuhitaji

Timu yetu ya kimataifa imesimama kwa masaa 24/7 katika lugha 11 tofauti ili kusaidia kufanya mambo vizuri na msaada wa uwekaji nafasi upya, marejesho ya fedha, malipo, dola yetu milioni $1 Garantii ya Mwenyeji, na programu za bima kwa wote manyumba na tukio.

Tu tufikieikiwa kuna kitu unachohitaji.