Mabadiliko
Mabadiliko
- Jinsi ya kufanyaKurekebisha nafasi iliyowekwa kama MwenyejiUnaweza kuwasilisha ombi la mabadiliko kwa mgeni wako. Ikiwa mgeni atakubali, nafasi iliyowekwa itasasishwa.
- Jinsi ya kufanyaKujibu ombi la kubadilisha safari ya mgeniIwapo mgeni wako anataka kubadilisha maelezo ya nafasi aliyoweka ambayo imethibitishwa (mfano: kufupisha safari yake au kuongeza usiku), laz…
- Jinsi ya kufanyaKubadilisha bei ya nafasi zilizowekwa ambazo zimethibitishwa au zinazosubiriUnaweza kubadilisha bei ya nafasi iliyowekwa ambayo imethibitishwa kwa kuwasilisha ombi la mabadiliko, au kutuma ofa maalumu kwa ombi linalo…
- Jinsi ya kufanyaKuweka ada ya usafi kwenye nafasi iliyowekwa ambayo imethibitishwaUtahitaji idhini ya mgeni wako ili kuongeza ada ya usafi kwenye nafasi iliyowekwa ambayo imethibitishwa au safari inayoendelea.
- Jinsi ya kufanyaKubadilisha au kughairi safari inayoendelea kama MwenyejiIkiwa unahitaji kughairi sehemu iliyobaki ya nafasi iliyowekwa, hakikisha unamtumia ujumbe mgeni wako ili kumjulisha kinachoendelea, kisha u…
- Jinsi ya kufanyaIkiwa mgeni hajibu ombi lako la kubadilisha safariUsipopokea jibu kutoka kwa wageni na ombi lako ni muhimu au la haraka, unaweza kutuma ujumbe unaowakumbusha wakubali au wakatae ombi.
- Jinsi ya kufanyaKukataa ombi la kubadilisha safariWageni na wenyeji wanaweza kukataa ombi la kufanya mabadiliko ili nafasi iliyowekwa ibaki jinsi ilivyo.