Kuweka ada ya usafi kwenye nafasi iliyowekwa ambayo imethibitishwa
Did you recently up your cleaning game or hire a housekeeper? If so, you’ll want to add or update the cleaning fee in your listing, but you may also want to add it to a confirmed reservation or active trip.
For that, you’ll need your guest’s approval: Simply send them a trip change request with a new total price that includes the additional fee. When you do this, it’s a good idea to shoot them a message explaining the change.
Mtumie mgeni wako ombi la kubadilisha safari
Ikiwa huwezi kumkaribisha mgeni wako kwenye eneo alilowekea nafasi, lakini unaweza kumkaribisha kwenye eneo tofauti, utahitaji kuuliza iwapo ni sawa kabla ya kutuma ombi la kubadilisha safari:
- Mtumie mgeni wako ujumbe kuhusu mabadiliko hayo na ujumuishe kiunganishi cha tangazo lililopendekezwa—hakikisha kwamba unataja tofauti ya gharama, ikiwa ipo
- Akikubali, mtumie ombi la kubadilisha safari
- Ikiwa hakubali na hataki tena nafasi aliyoweka, utahitaji kuighairi ili aweze kuweka nafasi upya mahali pengine
Hakikisha kwamba mabadiliko yako hayagongani na mipangilio ya tangazo lako. Pia ni muhimu umtumie mgeni wako ujumbe unaoeleza ni kwa nini unaomba mabadiliko.
- Nenda kwenye Nafasi zilizowekwa kisha uchague nafasi iliyowekwa unayotaka kubadilisha
- Bofya Maelezo, sogeza chini kisha ubofye Badilisha nafasi iliyowekwa
- Chagua tena chaguo la Badilisha nafasi iliyowekwa
- Badilisha tangazo, tarehe, idadi ya wageni au bei
- Tathmini mabadiliko, kisha ubofye Tuma ombi
- Bofya Wasifu
kisha ubofye Badilisha kwenda kukaribisha wageni
- Bofya Kalenda
kisha uchague nafasi iliyowekwa unayotaka
- Bofya Badilisha nafasi iliyowekwa
- Chini ya Maelezo ya nafasi iliyowekwa, nenda kwenye Tarehe au Wageni kisha ubofye Badilisha
- Fanya mabadiliko yako kisha ubofye Hifadhi
- Chini ya Tozo za wageni, nenda kwenye Gharama ya malazi kisha ubofye Badilisha
- Weka kiasi kipya kisha ubofye Hifadhi
- Tathmini maelezo kisha ubofye Tuma ombi

- Nenda kwenye sehemu ya Leo kisha uchague nafasi iliyowekwa unayotaka kubadilisha
- Bofya Badilisha nafasi iliyowekwa
- Chini ya Maelezo ya nafasi iliyowekwa, nenda kwenye Tarehe au Wageni kisha ubofye Badilisha
- Fanya mabadiliko yako kisha ubofye Hifadhi
- Chini ya Tozo za wageni, nenda kwenye Gharama ya malazi kisha ubofye Badilisha
- Weka kiasi kipya kisha ubofye Hifadhi
- Tathmini maelezo kisha ubofye Tuma ombi
Note: Cleaning fees aren’t applicable to listings in China.
Makala yanayohusiana
- MwenyejiKuweka ada za usafiAda ya usafi huwasaidia wenyeji kushughulikia gharama za ziada zinazotokana na kutayarisha nyumba yao kabla ya wageni kuwasili au baada ya w…
- MgeniAda za usafiAda ya usafi ni ada ya ziada ya mara moja ya kufanya usafi kwenye sehemu unamokaa. Ada hii huwekwa na Wenyeji.
- Mwenyeji wa TukioLeseni ya Biashara nchini Costa RicaSheria, kanuni, utoaji wa leseni—hapa kuna taarifa muhimu za kukuwezesha kuanza kujifunza kuhusu kile unachoweza kuhitaji ili kuwa Mwenyeji …