Una maswali kuhusu kukaribisha wageni?

Pata msaada wa ana kwa ana wa bila malipo kutoka kwa Wenyeji bora wa Airbnb

Vidokezi binafsi
na mwongozo
Tumekuunganisha na Mwenyeji Bingwa mwenye uzoefu ili ajibu maswali yako yote, wakati wowote inapokufaa zaidi.
Msaada wa vitendo kuhusu
kutangaza eneo lako
Mwenyeji Bingwa wako atakusaidia kuunda tangazo lako na kukupa ushauri wa kupiga picha, kuelezea sehemu yako na kadhalika.
Jitayarishe kwa ajili ya
mgeni wako wa kwanza
Utapata usaidizi na mwongozo unaohitaji ili uanze kukaribisha wageni na upate tathmini yako nzuri ya kwanza.

Mwenyeji Bingwa wako atakuongoza katika kila hatua

Hatua ya 1
Kutana na Mwenyeji Bingwa wako
Imaan Saa 4:21 asubuhi
Habari! Ninapenda kuwa Mwenyeji na nimefurahi sana kupata maelezo zaidi kukuhusu wewe na eneo lako.

Njia zaidi za kuanza kukaribisha wageni

Haijalishi unapoanzia, tuna vidokezi, video na miongozo kwa ajili ya kila hatua.