Pata alama za V kwenye Airbnb

Earn 1 V-point for every ¥200 you spend on homes. More details

Pata alama za V katika hatua 5 rahisi

1. Jiunge kwenye Airbnb
Fungua akaunti au ingia kwenye akaunti ili uanze
2. Unganisha kwenye alama ya V
Unganisha akaunti yako ya alama ya V kwenye Airbnb
3. Panga safari yako
Book a home and earn 1 V-point for every ¥200 you spend. More details
4. Furahia safari yako
Alama zitaongezwa kwenye akaunti yako ya alama ya V takribani mwezi mmoja baada ya kukamilisha safari yako
5. Tumia alama zako
You can use your points at V-point alliance partners

Pata alama za V katika hatua 5 rahisi

1. Jiunge kwenye Airbnb
Fungua akaunti au ingia kwenye akaunti ili uanze
2. Unganisha kwenye alama ya V
Unganisha akaunti yako ya alama ya V kwenye Airbnb
3. Panga safari yako
Book a home and earn 1 V-point for every ¥200 you spend. More details
4. Furahia safari yako
Alama zitaongezwa kwenye akaunti yako ya alama ya V takribani mwezi mmoja baada ya kukamilisha safari yako
5. Tumia alama zako
You can use your points at V-point alliance partners

Airbnb ndio mahali rahisi zaidi mtandaoni pa kupata malazi kote ulimwenguni

Inafaa kwa kila mtu
Unaweza kukaa peke yako au na mwenyeji (mtu anayemiliki sehemu hiyo) katika matangazo zaidi ya milioni 7 katika nchi na maeneo 220
Vichujio 100 na zaidi kwa ajili ya sehemu mahususi za kukaa
Chagua kiwango cha bei yako, idadi ya vyumba unavyotaka na vistawishi vingine muhimu ili upate sehemu ya kukaa inayokidhi mahitaji yako
Tuko hapa kwa ajili yako
Timu yetu ya kimataifa ya usaidizi wa saa 24 ipo hapa ili kukusaidia kwa tatizo lolote, liwe kubwa au dogo

Maelezo zaidi

Lazima uwe mkazi wa Japani ili upate alama za V kwenye Airbnb.
Unaweza kupata alama kwenye sehemu yoyote utakayowekea nafasi kote ulimwenguni. Matukio ya Airbnb hayajumuishwi.
Hesabu za alama zote ni makadirio kulingana na nafasi uliyoweka awali na huenda zikabadilika. Kodi, kuponi au amana hazijumuishwi katika hesabu zozote za alama za V.
Ikiwa uliweka nafasi ya sehemu ya kukaa katika sarafu nyingine isiyo Yeni ya Japani, alama utakazopokea zitategemea kiwango cha kubadilisha Yeni ya Japani katika siku ya kulipa.
Ikiwa mpango huu utahitimishwa, alama za V hazitatolewa kwa sehemu zozote za kukaa zinazomalizika baada ya usitishaji huo.
For more information, please read Airbnb’s V-point terms and conditions.