Masuala ya usalama
Masuala ya usalama
- Jinsi ya kufanyaNinawezaje kuripoti ujumbe au kumzuia mtu kwenye Airbnb?Chagua mazungumzo na mtu ambaye ungependa kumripoti au kumzuia kisha ufuate maelekezo.
- SheriaUsalama wa nyumba: ving'ora vya moshi na kaboni monoksidiWenyeji wanahimizwa waweke ving'ora vya kaboni monoksidi katika sehemu yao. Pata maelezo zaidi kuhusu mpango wetu wa usalama wa nyumba.
- Jinsi ya kufanyaJinsi Airbnb inavyojenga uaminifu kati ya Wenyeji na wageniTunatoa huduma zinazosaidia kuimarisha tumaini, ikiwemo mfumo wetu salama wa kutuma ujumbe, tathmini, Garantii ya Mwenyeji na zaidi.
- Jinsi ya kufanyaIkiwa hujihisi salama wakati wa safariIwapo unahisi kama unaweza kuwa hatarini au usalama wako binafsi unatishiwa, wasiliana na mamlaka za eneo husika mara moja.
- Jinsi ya kufanyaTaarifa za usalama kwenye matangazoHaya ndiyo mambo unayohitaji kujua kuhusu kufichua taarifa za usalama katika tangazo.
- Jinsi ya kufanyaWasiwasi kuhusu eneo la nafasi uliyowekaJe, una wasiwasi kuhusu eneo la nafasi uliyoweka? Soma kila kitu ambacho Mwenyeji amechapisha katika maelezo ya tangazo lake au wasiliana na…
- Jinsi ya kufanyaIkiwa umejeruhiwa kwenye Tukio la AirbnbIkiwa umejeruhiwa au unahitaji matibabu ukiwa kwenye tukio, nenda mahali salama na uwasiliane na huduma za dharura za eneo husika mara moja.
- Jinsi ya kufanyaKwa ajili ya Wenyeji—majeraha wakati wa Matukio ya AirbnbUnapaswa kumpeleka kila mtu mahali salama na uwasiliane na huduma za dharura za eneo husika mara moja. Baada ya hapo, ripoti kisa hicho kwet…
- Jinsi ya kufanyaUchunguzi wa historiaKwa usalama wa wenyeji wetu na wageni, tunafanya ukaguzi wa historia. Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi gani na wakati gani tunafanya hii.
- Masharti ya kisheriaMapungufu ya uchunguzi wa historia
- Jinsi ya kufanyaAthari za uchunguzi wa historiaPata maelezo kuhusu jinsi uchunguzi wa historia tunaofanya unavyoweza kuathiri akaunti yako.