Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Jinsi ya kufanya
Mgeni

Kuweka nafasi na kurejeshewa fedha wakati wa michezo ya Tokyo ya Olimpiki na Olimpiki ya Walemavu

Ikiwa jambo fulani litabadilika wakati wa michezo ya Tokyo ya Olimpiki au Olimpiki ya Walemavu, hapa kuna taarifa muhimu unayohitaji kujua kuhusu jinsi linavyoweza kuathiri nafasi uliyoweka:

  • Ikiwa michezo yoyote itaghairiwa, fedha zozote utakazorejeshewa zitaamuliwa na sera ya kughairi ya Mwenyeji wako. Hii inatumika pia ikiwa kuna mabadiliko katika ratiba ya michezo na sehemu yako ya kukaa haipatikani kwa tarehe tofauti. Pata maelezo zaidi kuhusu kurejeshewa fedha kwa ajili ya kughairi.
  • Sera yetu ya Sababu Zisizozuilika haitumiki kwa nafasi zilizowekwa wakati wa Michezo ya Olimpiki na Olimpiki ya Walemavu ikiwa kuna mabadiliko yoyote kwa watazamaji.

Ikiwa nafasi uliyoweka imeghairiwa katika dakika za mwisho, tafadhali wasiliana nasi.

Je, makala hii ilikusaidia?

Makala yanayohusiana

Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili