Kughairi
Kughairi
Kughairi uwekaji nafasi
- Jinsi ya kufanyaKughairi nafasi uliyoweka ya sehemu ya kukaaUnaweza kwenda kwenye safari zako ili kughairi au kufanya mabadiliko kwenye nafasi uliyoweka.
- Jinsi ya kufanyaBadilisha tarehe au saa ya nafasi iliyowekwa ya Tukio lakoIli ufanye mabadiliko kwenye nafasi uliyoweka, nenda kwenye maelezo ya safari yako.
- Jinsi ya kufanyaGhairi ombi la safariMaadamu ombi lako la safari halijakubaliwa, unaweza kughairi nafasi uliyoweka kupitia uzi wa ujumbe na Mwenyeji wako.
- Jinsi ya kufanyaKughairi safari kutokana na sababu zisizozuilikaPata maelezo kuhusu matakwa na jinsi ya kuchukua hatua zinazofuata.
- SheriaMachaguo ya kughairi kwa sababu ya COVID-19Ili kujua machaguo yako ya sasa, nenda kwenye kughairi nafasi uliyoweka kisha uchague chaguo kwamba mipango yako ya kusafiri imebadilika kwa…
- Jinsi ya kufanyaWeka upya nafasi iliyoghairiwaIngawa huwezi kurejesha nafasi iliyowekwa iliyoghairiwa, unaweza kuwasiliana na Mwenyeji na kuweka nafasi mpya.
- Jinsi ya kufanyaKughairi Jasura za AirbnbUnaweza kurejeshewa fedha zote kwa ajili ya jasura yoyote ikiwa utaghairi angalau siku 30 kabla ya wakati wa kuanza jasura hiyo, au ndani ya…
Ughairi ulioanzishwa na mwenyeji
- Jinsi ya kufanyaEndapo Mwenyeji wako ataghairi nafasi uliyoiwekaEndapo nafasi uliyoweka imeghairiwa na Mwenyeji wako, tutakurejeshea fedha yote kiotomatiki.
- Jinsi ya kufanyaIkiwa Mwenyeji wako anahitaji kughairiIkiwa mwenyeji wako hawezi kukubali ukaaji wako, usighairi kwa ajili yake—mtumie ombi la kughairi ili usikose kurejeshewa kiasi kizuri kabis…
- Jinsi ya kufanyaIkiwa Mwenyeji wako ataghairi tukio lakoIkiwa Mwenyeji anahitaji kughairi tukio, utaarifiwa mara moja na utarejeshewa fedha zote.
Sera
- Jinsi ya kufanyaPata sera ya kughairi kwa ajili ya sehemu yako ya kukaaKiasi cha fedha yoyote inayorejeshwa hutegemea sera ya kughairi ya Mwenyeji na wakati na tarehe unayoghairi.
- Jinsi ya kufanyaPata sera ya kughairi kwa ajili ya nafasi iliyowekwa ya Tukio lakoKiasi cha fedha yoyote inayorejeshwa hutegemea sera ya kughairi ya Mwenyeji na wakati na tarehe unayoghairi.
- Sera ya jumuiyaJe, Sera ya Sababu Zisizozuilika inatumika kwenye nafasi niliyoweka wakati wa janga la COVID-19?Pata maelezo kuhusu sera ya sababu zisizozuilika wakati wa janga la COVID-19.
- Jinsi ya kufanyaKuweka nafasi na kurejeshewa fedha wakati wa michezo ya Tokyo ya Olimpiki na Olimpiki ya WalemavuIkiwa jambo fulani litabadilika wakati wa michezo ya Tokyo ya Olimpiki au Olimpiki ya Walemavu, hapa kuna taarifa muhimu unayohitaji kujua k…
- Sera ya jumuiyaSera ya Sababu ZisizozuilikaPata maelezo kuhusu jinsi kughairi kunavyoshughulikiwa wakati matukio yasiyotarajiwa usiyoweza kudhibiti yatatokea baada ya kuweka nafasi na…
- Sera ya jumuiyaSera ya Sababu Zisizozuilika na virusi vya korona (COVID-19)Pata maelezo juu ya kile kinachojumuishwa kwenye COVID-19 chini ya sera yetu ya sababu zisizozuilika.