Ruka kwenda kwenye maudhui
  Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa
  Wageni

  Ikiwa mipango yangu ya kusafiri itabadilika kwa sababu ya COVID-19, nina machaguo gani ya kughairi?

  Ili kujua machaguo ya sasa uliyonayo ya kughairi na kurejesha fedha, nenda kwenyeghairi nafasi uliyoweka kisha uchague Mipango yangu ya kusafiri imebadilika kwa sababu ya janga la COVID-19.

  Utakuwa na machaguo haya daima:

  • Kurejeshewa fedha kulingana na sera ya kughairi ya mwenyeji wako
  • Kurejeshewa fedha zote kwa kuwasilisha nyaraka rasmi ili zitathminiwe

  Kulingana na tarehe za kuweka nafasi na kuingia za sehemu uliyoiwekea nafasi, huenda ukaonyeshwa chaguo moja au zaidi kati ya yafuatayo:

  • Salio la safari la sababu zisizozuilika
  • Mwombe mwenyeji wako akurejeshee fedha zote

  Timu yetu ya usaidizi wa jumuiya itaweza tu kukupatia machaguo hayo hayo uliyonayo mtandaoni.

  Ikiwa unaumwa kwa sababu ya maambukizi ya COVID-19, hii kwa kawaida inashughulikiwa chini ya Sera yetu ya kawaida ya Sababu Zisizozuilika na unaweza kuchagua “Nina kisa cha sababu isiyozuilika” unapoghairi.

  Mwombe mwenyeji wako akurejeshee fedha nyingi

  Ikiwa nafasi uliyoweka haistahiki kurejeshewa fedha yote, daima unaweza kumtumia ujumbe mwenyeji wako ili kuona kama yupo tayari kukurejeshea fedha ya ziada kupitia Kituo cha Usuluhishi.

  Makala yanayohusiana
  Ulipata msaada uliohitaji?
  Wewe si mgeni?
  Chagua jukumu tofauti ili kupata msaada ambao ni sawa kwako.