Aikoni ya beji ya Mwenyeji Bingwa

Mwenyeji Bingwa: Kuwatambua walio bora kabisa katika kukaribisha wageni

Mpango wa Mwenyeji Bingwa unawaenzi na kuwatuza wenyeji wa Airbnb wenye ukadiriaji wa juu na wenye uzoefu mkubwa.
Angalia maendeleo yako

Wenyeji wawili wanasafisha chumba

Faida za Mwenyeji Bingwa

Kama Mwenyeji Bingwa, utaonekana zaidi, utakuwa na uwezekano wa kupata mapato zaidi na zawadi za kipekee. Ni njia yetu ya kusema asante kwa ukarimu wako wa kipekee.

Faida za Mwenyeji Bingwa

Kama Mwenyeji Bingwa, utaonekana zaidi, utakuwa na uwezekano wa kupata mapato zaidi na zawadi za kipekee. Ni njia yetu ya kusema asante kwa ukarimu wako wa kipekee.
Aikoni ya pesa

Karibisha wageni zaidi

Uzingativu kutoka kwa wageni unaweza kusababisha nafasi zaidi kuwekwa kwa ajili ya Wenyeji Bingwa — na pesa zaidi mifukoni mwao.
Aikoni ya Kipaza sauti

Pata utambuzi maalumu

Guests trust that Superhosts are the best of the best. Our promotional emails and Superhost badges help them stand out even more.
Aikoni ya tiketi

Pata zawadi za kipekee

Wenyeji Bingwa wanapata kuponi ya USD 100 ya Airbnb kila mwaka ambao wanadumisha hadhi yao. Na wanapomwalika Mwenyeji mpya kujisajili, Wenyeji Bingwa wanapata kiasi cha ziada cha asilimia 20 kwa kuongezea bonasi ya kawaida.

Jinsi ya kuwa Mwenyeji Bingwa

Kila miezi 3, tunaangalia ikiwa umetimiza vigezo vifuatavyo katika kipindi cha mwaka uliopita.* Ukiwa utakidhi vigezo hivyo, utapata au kudumisha hadhi yako ya Mwenyeji Bingwa.

Aikoni ya Nyota

Ukadiriaji wa jumla wa 4.8 na zaidi

Wenyeji Bingwa wana ukadiriaji wa wastani wa jumla wa 4.8 au zaidi kulingana na tathmini za mwaka uliopita kutoka kwa wageni wa Airbnb. Wageni wanajua wanaweza kutarajia ukarimu bora kutoka kwa wenyeji hawa.
Aikoni ya tuzo

Sehemu za kukaa zaidi ya 10

Wenyeji Bingwa wamekamilisha angalau nafasi 10 za kukaa katika mwaka uliopita au usiku 100 kwa angalau nafasi 3 za kukaa. Wageni wako watajisikia kuwa na uhakika wanapokaa kwa mwenyeji mwenye uzoefu.
Aikoni ya kushikana mikono

Kiwango cha kughairi kilicho chini ya asilimia 1

Wenyeji Bingwa wanaghairi chini ya asilimia 1 ya wakati, bila kujumuisha sababu zisizozuilika. Hii inamaanisha kughairi 0 kwa wenyeji walio na nafasi zilizowekwa zilizo chini ya 100 kwa mwaka. Kughairi nadra kunamaanisha utulivu wa akili kwa wageni.
Aikoni ya povu

Kiwango cha kutoa majibu cha asilimia 90

Wenyeji Bingwa wanajibu asilimia 90 ya ujumbe mpya ndani ya saa 24. Wageni wanapokuuliza maswali, wanajua kwamba watapata jibu la haraka ndani ya muda mfupi tu.

Majibu kwa maswali yako

Mwenyeji anayetabasamu akiwa na mbwa

Pata ushauri kutoka kwa Wenyeji Bingwa