
Vinjari Milano Cortina 2026
Gundua matukio ya mara moja maishani yanayoongozwa na wanariadha na sehemu za kukaa karibu na kila tukio.

Pata makao yako
Kaa huko Lombardy
Michezo ya kuteleza thelujini ya milimani ya wanaume · Michezo ya kuteleza barafuni · Michezo ya kuteleza thelujini ya mtindo huru · Mpira wa magongo wa barafuni · Mpira wa magongo wa barafuni kwa walemavu · Kuteleza thelujini kwenye ubao · Michezo ya kuteleza barafuni kwa kasi · Michezo ya kuteleza barafuni kwa kasi ya masafa mafupi · Michezo ya kuteleza thelujini milimani
Kaa huko Trentino-Alto Adige
Biathloni · Biathloni ya walemavu · Mbio za nyikani za kuteleza thelujini · Mbio za nyikani za kuteleza thelujini kwa walemavu · Mchanganyiko wa kuteleza na kuruka thelujini · Kuruka thelujini
Kaa huko Veneto
Kuteleza thelujini milimani kwa wanawake · Kuteleza thelujini milimani kwa walemavu · Bobsleji · Mchezo wa kutelezesha vijiwe barafuni · Mchezo wa kutelezesha vijiwe barafuni kwenye kiti cha magurudumu · Luji · Mchezo wa kuteleza kwenye sleji ndogo · Kuteleza kwenye ubao wa theluji kwa walemavu
Fanya mazoezi pamoja na mwanariadha
1 kati ya kurasa 1
Barizi ukiwa na bingwa
1 kati ya kurasa 1
Safiri ukiwa na utulivu wa akili

Angalia tathmini
Uzoefu na vidokezi vya wageni wengine vinaweza kukusaidia kuamua ikiwa sehemu ya kukaa inakufaa.

Furahia uwezo fulani wa kubadilika
Chuja ili upate matangazo yenye ughairi unaoweza kubadilika ikiwa unafikiri mipango yako inaweza kubadilika.

Usaidizi wakati wowote, mchana au usiku
Kupitia usaidizi kwa wateja wa saa 24 ulimwenguni kote, tuko hapa wakati wowote unapotuhitaji.





























