MUHTASARI WA BIMA

Bima ya Mwenyeji wa Japani

MUHTASARI WA BIMA

Bima ya Mwenyeji wa Japani

Bima ya Mwenyeji ya Japani ni nini?

Bima ya Mwenyeji ya Japani hufidia visa ambapo Mwenyeji* anapata dhima au gharama nyingine zinazohusiana na kujeruhiwa kwa watu wengine au uharibifu wa mali ya wengine kutokana na kukodisha nyumba kupitia tovuti ya Airbnb na visa ambapo Mwenyeji anapata uharibifu kwa sababu ya kuharibiwa kwa mali anayomiliki kutokana na ukaaji wa Mgeni*. Katika visa ambapo mali inayomilikiwa na Mwenyeji inaharibiwa kutokana na ukaaji wa Mgeni, bima itatumika wakati mzozo kati ya Mwenyeji na Mgeni hauwezi kutatuliwa kati yao wenyewe na Mwenyeji anawasiliana na Airbnb.

Bima ya Mwenyeji wa Japani ni mpango wa bima unaotekelezwa na Sompo Japan Insurance Inc.

Wenyeji si lazima walipe malipo ya bima ili kufaidika na mpango wa Bima ya Mwenyeji wa Japani.

Tafadhali angalia taarifa ifuatayo kuhusu ulinzi wa Bima ya Mwenyeji wa Japani.

Kipindi cha bima

Kipindi hiki cha bima cha mpango wa sasa wa bima ni kuanzia tarehe 31 Julai, 2023 hadi tarehe 31 Julai, 2024.

Wigo na masharti

Wigo na masharti ya kutuma ombi la Bima ya Mwenyeji wa Japani

Wigo na mashartiWigo na masharti ya kutuma ombi la Bima ya Mwenyeji wa Japani

Fidia kwa ajili ya uharibifu wa mali inayomilikiwa na Mwenyeji
Kwa mujibu wa kanuni, masharti na vighairi vinavyotumika, Bima ya Mwenyeji ya Japani italipwa kwa ajili ya uharibifu wa Nyumba* na mali binafsi inayomilikiwa na Mwenyeji* kutokana na ukaaji wa Mgeni *. Bima ya uharibifu kwenye Nyumba ambayo Mwenyeji anakodisha au amekabidhiwa kusimamia inaweza kutolewa chini ya ulinzi wa ziada ulioelezwa hapa chini.

Fidia ya dhima ya Mwenyeji kwa ajili ya jeraha au uharibifu wa mali
Bima ya Mwenyeji wa Japani pia inawalinda Wenyeji dhidi ya dhima wanayopata kutokana na jeraha au uharibifu wa mali ya Mgeni au watu wengine wakati wa ukaaji wa Mgeni kwenye Nyumba kama ilivyowekewa nafasi kwenye tovuti ya Airbnb na kusababishwa na Biashara ya kukodisha Nyumba.*

Fidia kwa ajili ya gharama za Mwenyeji kwa ajili ya malipo ambayo anapaswa kuwalipa wengine ili kutatua ajali zinazohusisha jeraha au uharibifu wa mali
Katika visa ambapo Mwenyeji anagharimika kwa sababu ya malipo anayotakiwa kutoa ili kutatua ajali inayohusisha jeraha la mwili au uharibifu wa mali kwa Mgeni au watu wengine, Bima ya Mwenyeji wa Japani inaweza kutumika kulipia gharama ambazo Mwenyeji amepata. Ajali hiyo lazima isababishwe na Biashara ya kukodisha Nyumba na itokee wakati wa ukaaji wa mgeni kwenye Nyumba kama ilivyowekewa nafasi kwenye tovuti ya Airbnb ili bima itumike. Kila ulinzi ulioelezwa hapo juu utatekelezwa kulingana na sheria, masharti na vighairi vinavyotumika vya sera ya Bima ya Mwenyeji wa Japani.

1. Mazingatio Yanayoshughulikiwa

Bima ya Mwenyeji wa Japani inashughulikia Nyumba ambayo Mwenyeji anamiliki, anakodisha au amekabidhiwa kusimamia kwa ajili ya Biashara ya Kukodisha Nyumba.

(*) Nyumba humaanisha majengo ambayo yameidhinishwa chini ya Sheria ya Biashara ya Hoteli, yamethibitishwa chini ya Sheria ya Kitaifa ya Maeneo Maalumu ya Kimkakati au kuarifiwa chini ya Sheria ya Biashara ya Malazi au majengo mengine ambamo biashara kama hiyo ya malazi inaendeshwa, mradi tu matakwa yote yafuatayo yatimizwe:
 • Majengo hayo yanamilikiwa na Mwenyeji, yanakodishwa na Mwenyeji au yamekabidhiwa kwa Mwenyeji ayasimamie;
 • Majengo hayo yametangazwa kwenye tovuti ya Airbnb; na
 • Majengo hayo yamewekewa nafasi na kutumiwa na mtu ambaye amekubali masharti ya huduma ya Airbnb na kutumia tovuti ya Airbnb. Majengo ya malazi yanajumuisha nyumba zinazohamishika, mabasi, magari ya kupiga kambi, nyumba za kwenye miti na majengo mengine ambayo yameegeshwa na kutumiwa kama malazi. Boti na vyombo vya usafiri wa majini pia vinajumuishwa ikiwa vinatumika kama malazi.

2. Mwenyeji/Wenyeji

(*) Wenyeji humaanisha watu wanaojihusisha na Biashara ya Kukodisha Nyumba wanaotangaza Nyumba zao na wana leseni au vinginevyo wanaruhusiwa kufanya hivyo kwa mujibu wa sheria inayotumika.

3. Mgeni/Wageni

(*) Neno Wageni linamaanisha watumiaji wa Biashara ya Kukodisha Nyumba, ikiwemo wale ambao wamealikwa na mtumiaji na wale ambao wanatumia kwa pamoja Biashara ya Kukodisha Nyumba.

(*) Biashara ya Kukodisha Nyumba inamaanisha biashara ya hoteli iliyofasiliwa katika Sheria ya Biashara ya Hoteli (Sheria Nambari 138 ya 1948), biashara iliyofasiliwa katika Sheria ya Kitaifa ya Maeneo Maalumu ya Kimkakati (Sheria Nambari 107 ya 2013) au biashara ya nyumba ya makazi iliyofasiliwa katika Sheria ya Biashara ya Nyumba za Malazi (Sheria Nambari 65 ya 2017) au biashara nyingine kama hizo za malazi na shughuli zozote zinazofanywa ndani au nje ya Nyumba hiyo inayohusishwa na huduma zilizotajwa hapo juu.

 • 2. Mwenyeji/Wenyeji

  Bima

  Kikomo cha juu kinachotumika katika kipindi cha bima ni ¥100,000,000 JPY kwa kila ajali, lakini kuna vighairi fulani.

  Vighairi vya ulinzi  Vitu vikuu ambavyo havilindwi na Bima ya Mwenyeji wa Japani (vifungu vinavyohusu fidia kwa uharibifu wa mali inayomilikiwa na Mwenyeji)

  Vitu ambavyo havijajumuishwa kwenye Nyumba:

  • Sarafu, pesa, chuma cha thamani katika muundo wa kinoo, noti au dhamana.
  • Ardhi, maji au kitu kingine chochote kilicho ndani au juu ya ardhi; hata hivyo, hii haitatumika kwa maboresho ya ardhi kwa kutengeneza bustani, barabara na lami (lakini itatumika kwa ardhi yoyote iliyoongezwa au ardhi iliyo chini ya nyumba hiyo) au maji ambayo yamo ndani ya tangi lolote lililofungwa, mfumo wowote wa mabomba au vifaa vingine vyovyote vya uchakataji.
  • Wanyama, ikiwemo, lakini si tu, mifugo na wanyama vipenzi.
  • Miti ya mbao na mazao.
  • Vyombo vya majini, ndege, vyombo vinavyoruka anga za juu, satelaiti; hata hivyo, hii haitatumika kwa chombo chochote cha majini ambacho hakitumiki na kinatumiwa kama Nyumba.
  • Magari; hata hivyo, hii haitatumika kwa gari lolote ambalo halitumiki na linatumika kama Nyumba.
  • Migodi ya chini ya ardhi au mashimo ya mgodi au nyumba yoyote ndani ya migodi au mashimo hayo.
  • Mabwawa, mitaro na mifereji ya maji.
  • Mali inayohamishwa.
  • Nyaya za umeme zilizoko umbali wa zaidi ya mita 305 kutoka kwenye Nyumba.

  • Visa vikuu ambapo fedha za bima hazilipwi:
  • Vita, matumizi ya nguvu yanayofanywa na nchi ya kigeni, mapinduzi, kutekwa kwa serikali, vita vya wenyewe kwa wenyewe, uasi wa silaha, au matukio au ghasia nyinginezo kama hizo.
  • Uharibifu unaosababishwa na mionzi, mlipuko au madhara mengine yanayotokana na mmenyuko wa nyuklia au kuoza kwa kiini cha atomiki cha nyenzo za mafuta ya nyuklia au nyenzo za chanzo cha nyuklia, elementi ya mionzi, radioisotopu au nyenzo zilizochangamana na nyenzo hizo, au ajali inayotokana na hiyo, bila kujumuisha athari za nyuklia au kuoza kwa kiini cha atomiki cha radioisotopu kwa matumizi ya kimatibabu, kisayansi, au viwandani.
  • Ugaidi.
  • Matumizi halisi au yanayotishiwa yenye nia mbaya ya nyenzo zenye sumu za kibiolojia au kemikali.
  • Uharibifu unaotokea kabla au baada ya mgeni kukaa kwenye Nyumba kama ilivyowekewa nafasi kwenye tovuti ya Airbnb.
  • Uharibifu unaosababishwa na mwenendo mbaya wa makusudi au uzembe mkubwa wa Wenyeji.
  • n.k.

 • Visa vikuu ambapo pesa za bima hazilipwi (vifungu vinavyohusu fidia ya dhima na gharama ambazo Mwenyeji ametumia)

  • Vita, matumizi ya nguvu yanayofanywa na nchi ya kigeni, mapinduzi, kutekwa kwa serikali, vita vya wenyewe kwa wenyewe, uasi wa silaha, au matukio mengine kama hayo au ghasia.
  • Uharibifu unaosababishwa na mionzi, mlipuko au madhara mengine yanayotokana na mmenyuko wa nyuklia au kuoza kwa kiini cha atomiki cha nyenzo za mafuta ya nyuklia au nyenzo za chanzo cha nyuklia, elementi ya mionzi, radioisotopu au nyenzo zilizochangamana na nyenzo hizo, au ajali inayotokana na hiyo, bila kujumuisha athari za nyuklia au kuoza kwa kiini cha atomiki cha radioisotopu kwa matumizi ya kimatibabu, kisayansi, au viwandani.
  • Uharibifu uliosababishwa na mwenendo mbaya wa Wenyeji waliofanya kwa makusudi.
  • Gharama au dhima kwa jamaa wanaoishi na Wenyeji, isipokuwa kwa visa ambapo Mwenyeji anapata dhima au gharama za malipo muhimu kwa ndugu hao kutokana na uharibifu kwenye Nyumba ambayo Mwenyeji ameikodisha au amekabidhiwa kusimamia.
  • Gharama au dhima itokanayo na ulemavu wa kimwili unaofanywa na wafanyakazi wa Wenyeji wakati wanawafanyia kazi Wenyeji.
  • Katika hali ambapo kuna makubaliano maalum kuhusu fidia ya uharibifu kati ya Mwenyeji na mtu mwingine, dhima huamuliwa na makubaliano hayo.
  • Gharama za ajali au dhima inayosababishwa na maji machafu au uzalishaji wa hewa chafu.
  • Gharama kwa ajili ya ajali au dhima inayotokana na kazi ya kitaaluma iliofanywa na wanasheria, wanasheria wa kigeni waliosajiliwa, wahasibu wa umma waliothibitishwa, wahasibu wa kodi, wasanifu majengo, wasanifu, wachunguzi wa ardhi na makazi, waandishi wa mahakama, waandishi wa utawala, wataalamu wa mifugo, au watu wengine kama hao.
  • Gharama za ajali zinazotokana na umiliki, matumizi au usimamizi wa ndege, vyombo vya moto au chombo chochote nje ya Nyumba, bila kujumuisha uharibifu wowote kutokana na matumizi au usimamizi wa chombo cha moto au gari nje ya Nyumba wakati wa kutumia chombo hicho cha moto au gari hilo nje ya Nyumba.
  • Gharama za ajali zinazotokana na au dhima inayotokana na kazi ya ujenzi wa Nyumba iliyokodishwa au ile ambayo Mwenyeji amekabidhiwa kusimamia, kama vile ukarabati, upanuzi au ubomoaji, bila kujumuisha mahali ambapo Mwenyeji anajihusisha na kazi yake mwenyewe.
  • Gharama za ajali au dhima inayotokana na uharibifu wa Nyumba iliyokodishwa au iliyokabidhiwa kwa Mwenyeji ili kudhibiti uharibifu unaosababishwa na matetemeko ya ardhi, milipuko, mafuriko, sunami au matukio kama hayo ya asili, isipokuwa kwa hali ambapo uharibifu unasababishwa na moto.

 • Madai ya bima

  Madai ya bima

  Taarifa ya ajali

  Mwenyeji akigundua jeraha au uharibifu wa mali ya Mgeni au mhusika mwingine, Mwenyeji huyo anapaswa kuarifu Airbnb mara moja kwa sababu bima inaweza kutumika. Vivyo hivyo, Mwenyeji akitambua uharibifu wa mali ambayo anamiliki, Mwenyeji huyo anapaswa kuiarifu Airbnb wakati yeye na Mgeni wake hawawezi kukubaliana ili kutatua kisa hicho ndani ya saa 72 baada ya kuwasiliana na Mgeni kwa mara ya kwanza kwa sababu bima inaweza kutumika.

  Ombi la utoaji wa sera ya bima

  Muhtasari huu wa Bima ya Mwenyeji ya Japani haujumuishi sheria, masharti, vikomo na vighairi vyote vya sera ya bima. Ili kuomba nakala ya sera ya bima, tafadhali wasiliana na Aon Japan Ltd. na ujumuishe taarifa za akaunti yako ya Airbnb.

  Kampuni inayotathmini bima

  Sompo Japan Insurance Inc.