Bima ya Mwenyeji wa Japani

Bima ya Mwenyeji wa Japani

Ulinzi kwa ajili ya kila Mwenyeji. Kila tangazo. Kila wakati.

Ni nini kimejumuishwa?

Bima ya Mwenyeji ya Japani inaweza kutoa fidia ya hadi ¥100,000,000 JPY ikiwa mali au nyumba inayomilikiwa au kusimamiwa na Mwenyeji imeharibiwa kwa sababu ya ukaaji wa mgeni. Pia inaweza kutoa fidia pale ambapo Mwenyeji anapata dhima au gharama kuhusiana na uharibifu wa nyumba au jeraha la mwili la mgeni au mtu mwingine.

Bima ya Mwenyeji wa Japani inaweza kushughulikia:

  • Visa ambapo nyumba inayomilikiwa na Mwenyeji imeharibiwa kwa sababu ya ukaaji wa mgeni
  • Visa ambapo Mwenyeji anawajibika kwa jeraha la mwili la mgeni au mhusika mwingine
  • Visa ambapo Mwenyeji anawajibika kwa uharibifu wa mali ya mgeni au mhusika mwingine
  • Kushughulikia gharama katika hali ambapo Mwenyeji anapata gharama fulani kuhusiana na uharibifu wa nyumba au jeraha la mwili la mgeni au mhusika mwingine
  • Gharama za kurejesha mali ambayo imeharibiwa au inahitaji kuondolewa harufu

Bima ya Mwenyeji wa Japani haishughulikii:

  • Fedha taslimu na dhamana ya Mwenyeji
  • Uharibifu unaosababishwa na kitendo cha kukusudia kilichofanywa na Mwenyeji
  • Kuchakaa kwa vitu
  • Gharama za kawaida za kufanya usafi
Bima ya Wenyeji wa Japani inahusika tu kwa Wenyeji wa sahemu za kukaa nchini Japani. Wenyeji lazima wawe na leseni au wawe wameruhusiwa kuendesha biashara ya kupangisha nyumba kwa kufuata sheria inayotumika ili ulinzi utumike. Wenyeji wanaotafuta malipo chini ya bima ya Mwenyeji wa Japani wanakubali kushirikiana na Airbnb na kampuni ya bima, pamoja na kutoa nyaraka za uharibifu unaodaiwa na kukubali ukaguzi ufanyike katika visa nadra inapohitajika.

Aina fulani za nyumba zinapewa ulinzi wenye kikomo. Wenyeji wanaweza kutaka kupata au kuondoa vitu vya thamani wakati wa kukodisha nyumba yao na wafikirie bima ya kujitegemea ili kulinda vitu hivyo.

Malipo ya Bima ya Mwenyeji wa Japani yanategemea hali, ukomo na vighairi fulani. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea ukurasa wa muhtasari wa Bima ya Mwenyeji wa Japani.

Ili kuomba nakala ya sera yote ya bima, tafadhali wasiliana na Aon Japan Ltd. na ujumuishe taarifa ya akaunti yako ya Airbnb.

Jinsi ya kuwasilisha dai

Jinsi ya kuwasilisha dai

Kwa Wenyeji wenye madai ya uharibifu wa mali zao binafsi na/au nyumba yao wanayomiliki:

Kwa Wenyeji wenye madai ya uharibifu wa
mali zao binafsi na/au nyumba yao wanayomiliki:

Kwa Wenyeji wenye madai ya uharibifu wa
mali zao binafsi na/au nyumba yao wanayomiliki:

1. Kusanya ushahidi wa uharibifu

Hii inaweza kujumuisha picha, video, makadirio, na/au risiti za vitu hivyo.

2. Wasiliana na mgeni mara moja kupitia Kituo cha Usuluhishi

Unapoombwa kuchagua sababu ya utatuzi, tafadhali chagua: "Vitu vilivyoharibiwa au kupotea". Mgeni atakuwa na fursa ya kujibu. Mgeni asipojibu ndani ya saa 72, unaweza kuhusisha Airbnb kwa ajili ya msaada.

3. Rudishiwa gharama au husisha Airbnb

Ikiwa mgeni hataki kulipa kiasi kamili, unaweza kustahiki kulipwa chini ya Bima ya Mwenyeji wa Japani. Baada ya kuwasiliana na Airbnb, mtaalamu wa usaidizi atakuelekeza kwenye mchakato.

Kwa Wenyeji wanaopata dhima au
gharama nyingine:

Katika tukio nadra ambapo mgeni au mtu mwingine atajeruhiwa au mali yake kuharibiwa au kuibiwa, na unawajibika kisheria au kushughulikia gharama zinazotakiwa kulipa fidia yake, unapaswa kuwasiliana na kituo cha Usaidizi wa Jumuiya. Baada ya kupokea nyaraka na taarifa zinazotakiwa kuambatishwa, suala hilo litahamishwa kutoka Airbnb kwenda kwenye kampuni ya bima ya mhusika mwingine na mhusika mwingine msimamizi wa madai.
Wasiliana na kituo cha Usaidizi wa Jumuiya

Majibu kwa maswali yako

Majibu kwa maswali yako

img

Uko tayari kuweka sehemu kwenye Airbnb?