Popote uendapo, tuko hapa kukusaidia



Bado una maswali?
Machaguo kama mgeni kuingia mwenyewe au kuweka nafasi ya nyumba nzima yanakuruhusu kuingiliana na mwenyeji wako hasa kupitia ujumbe wa ndani ya programu—unaweza kumtumia ujumbe wakati wowote iwapo jambo linatokea.
Pata taarifa za hivi karibuni kuhusu mwitikio wetu wa COVID-19 na nyenzo kwa ajili ya wageni, ikiwemo mabadiliko ya sera, vizuizi vya kusafiri, machaguo ya kusafiri yanayoweza kubadilika na kadhalika. Pata maelezo zaidi
Katika hali nyingi, unaweza kusuluhisha matatizo yoyote moja kwa moja kwa kutuma ujumbe kwa mwenyeji wako. Ikiwa hawezi kusaidia, wasiliana tu na Airbnb ndani ya saa 24 baada ya kugundua tatizo hilo. Pata maelezo zaidi
Utatozwa mara tu nafasi uliyoweka itakapothibitishwa, lakini tutashikilia malipo kwa mwenyeji wako hadi saa 24 baada ya kuingia ili kukupa muda wa kuhakikisha kila kitu kipo kama ulivyotarajia. Pata maelezo zaidi
Karibu kila mtu anaweza kukaribisha wageni kwenye sehemu ya kukaa au tukio. Ni bila malipo kujisajili na kushiriki sehemu yako au ujuzi wako na ulimwengu. Ili kuanza, tembelea Kituo chetu cha Mwenyeji. Pata maelezo zaidi
Tembelea Kituo chetu cha Msaada ili upate majibu ya ziada kwa maswali yako. Pata maelezo zaidi