Tutakuunganisha na Wenyeji wapya ambao wanaweza kutumia mwongozo wako, iwe ni kuhusu mazoea bora ya kufanya usafi au jinsi ya kupiga picha ambazo wageni wanapenda.
Mwenyeji mpya uliyekutanishwa naye atakapochapisha tangazo lake mtandaoni, utalipwa baada ya ukaaji wake wa kwanza unaostahiki.