Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.

Jinsi Airbnb inavyofanya kazi

Taarifa ya mawasiliano na maoni

 • Jinsi ya kufanya

  Pata msaada au uwasiliane na Airbnb Usaidizi

  Wenyeji na wageni wengi wanaweza kutatua haraka matatizo yao wenyewe. Chunguza njia za kupata msaada unaohitaji kabla ya safari, wakati wa s…
 • Jinsi ya kufanya

  Shiriki maoni yako kuhusu Airbnb

  Tumia fomu yetu ili kutoa maoni kuhusu jinsi kipengele cha Airbnb kinavyofanya kazi au uripoti hitilafu.
 • Jinsi ya kufanya

  Kuwasiliana na usaidizi wa Airbnb.org

  Timu maalumu ya usaidizi inapatikana kwa Wenyeji wote, wageni na washirika wa mashirika yasiyotengeneza faida kwa ajili ya matatizo na maswa…
 • Jinsi ya kufanya

  Wasiliana na HotelTonight

  Kwa maswali yoyote yanayohusiana na nafasi zilizowekwa za HotelTonight, wasiliana na timu maalumu ya usaidizi, inayopatikana saa 24.

Mambo ya msingi

 • Jinsi ya kufanya

  Kuhusu Airbnb: Maana yake na jinsi inavyofanya kazi

  Unaweza kuwa mwenyeji wa chochote, mahali popote, ili wageni waweze kufurahia kila kitu, kila mahali.
 • Jinsi ya kufanya

  Kuhusu Wenyeji Bingwa

  Matangazo ya Wenyeji Bingwa yanajumuisha beji, ambayo Wenyeji hupata kwa kukidhi vigezo fulani vinavyoweka kielelezo cha kuwa Mwenyeji.
 • Jinsi ya kufanya

  Kuhusu Airbnb Kikazi

  Weka nafasi na udhibiti safari za kikazi kwa ajili ya wafanyakazi wako na utumie zana zetu ili kukusaidia kudhibiti safari za kikazi.
 • Jinsi ya kufanya

  Kuunda Matukio mapya

  Matukio ni shughuli zilizobuniwa na kuongozwa na wakazi wenye hamasa. Wenyeji wanaonyesha jiji lao, ufundi, kusudi, au utamaduni kwa njia am…
 • Jinsi ya kufanya

  Kuhusu Matukio ya Mtandaoni

  Matukio ya Mtandaoni ni ya moja kwa moja, hayajarekodiwa mapema na yana Mwenyeji anayeingiliana na kuungana na wageni wake.
 • Jinsi ya kufanya

  Kituo cha Jumuiya cha Airbnb

  Wenyeji wanaweza kuungana, washiriki hadithi, wapate ushauri na kuendelea kupata taarifa za hivi karibuni kuhusu habari na sera za Airbnb.
 • Jinsi ya kufanya

  Kuhusu Airbnb.org

  Airbnb.org ni shirika huru lisilotengeneza faida, linalofadhiliwa na umma ambalo hushirikiana na mashirika yasiyotengeneza faida ili kuwapa …
 • Jinsi ya kufanya

  Kuhusu Jasura za Airbnb

  Jasura ni safari za makundi madogo, za siku kadhaa kwenye maeneo yasiyotembelewa sana ambazo zinaongozwa na wataalam wa eneo husika.
 • Jinsi ya kufanya

  Ahadi Yetu ya Ujira wa Kujikimu

  Wenyeji wa Marekani ambao wanakubali kuwalipa wasafishaji wao kiasi cha haki cha pesa wanaweza kujizatiti kufuata Ahadi ya Ujira wa Kujikimu…