Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Jinsi ya kufanya

Kusasisha wasifu wako: Kazi ninayofanya

Elezea zaidi kuhusu kazi yako ili kuisaidia jumuiya ya Airbnb ikufahamu vizuri zaidi. Ikiwa huna kazi ya kawaida, tuambie kile unachofanya katika maisha yako. Maelezo unayochagua kushiriki kukuhusu yataonyeshwa kwenye tovuti yote ya Airbnb, kama vile katika utafutaji na katika wasifu wako, na yataonekana kwa wageni.

Kwa baadhi ya Wenyeji wa vyumba vya kujitegemea ambao walitoa maelezo ya kazi zao ambayo yalikuwa na urefu wa zaidi ya herufi 20, kidokezi kifupi cha maelezo yako kinaweza kuonyeshwa kwa wageni katika utafutaji. Katika hali hii, maelezo yaliyo kwenye Wasifu wako hayatabadilika, lakini katika utafutaji, yanaweza kuonekana kwa njia tofauti. Unaweza kusasisha jinsi kazi yako inavyoonekana kwenye Airbnb kwa kuhariri wasifu wako na kubofya "Kazi yangu" ili kufanya mabadiliko. Mara baada ya kuhifadhi sasisho, maelezo hayo yatatangua vidokezi vyovyote vya kazi vya awali, katika utafutaji na katika wasifu wako.

Je, makala hii ilikusaidia?

Makala yanayohusiana

Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili