Kujibu tathmini
Honest reviews help Hosts and guests to grow and find the right fit in the future. But sometimes you may get one you disagree with.
The right to respond
You can post a public response to a review that someone has left for you within 30 days after the review was submitted (not published). While you can’t remove it, you can report it if you think it violates our Review Policy.
Otherwise, feel free to respond with more context or to provide your own perspective, so long as you, too, follow the policy.
Kujibu tathmini ya hivi karibuni
- Nenda kwenye Wasifu > Tathmini
- Bofya Tathmini kukuhusu
- Nenda kwenye tathmini ambayo ungependa kujibu kisha ubofye Andika Jibu
Utahitaji kuingia kwenye akaunti yako kupitia kompyuta ya mezani au kivinjari (bila kutumia programu ya Airbnb) ili kujibu tathmini.
Utahitaji kuingia kwenye akaunti yako kupitia kompyuta ya mezani au kivinjari (bila kutumia programu ya Airbnb) ili kujibu tathmini.
- Nenda kwenye Wasifu > Tathmini
- Bofya Tathmini kukuhusu
- Nenda kwenye tathmini ambayo ungependa kujibu kisha ubofye Andika Jibu
Your response will be posted immediately, and you can’t edit it after that—so take your time and really think about what you want to say.
Makala yanayohusiana
- MgeniSera ya Tathmini ya AirbnbSera yetu inasaidia kuhakikisha tathmini zinazofaa, za kuelimisha na sahihi kwa wageni na wenyeji.
- MgeniTathmini kwa ajili ya sehemu za kukaaJumuiya yetu inategemea tathmini za uaminifu na uwazi. Wenyeji na wageni huandika tathmini mara baada ya ukaaji wao kumalizika.
- Jinsi tathmini zinavyofanya kaziTathmini ni njia nzuri kwa ajili ya Wenyeji na wageni kupeana maoni. Tunayo taarifa hapa kuhusu jinsi na kile unachoweza kushiriki na kadhal…