Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Sheria
Mgeni

Taarifa na ushauri wa kusafiri kuhusu COVID-19

Je, unajaribu kuamua wapi unataka kwenda? Chunguza matakwa ya hivi karibuni ya kusafiri.

Tarehe 11 Machi, 2020, Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza COVID-19 kuwa janga la ugonjwa. Matakwa ya kusafiri ya eneo husika na ya kimataifa, pamoja na miongozo ya afya, yanaendelea kubadilika haraka. Tunapendekeza uangalie vizuizi vya kuingia na kutoka nyumbani na mahali uendako kabla ya kuweka nafasi ya safari na kusafiri kwenye Airbnb

Tunatoa orodha ya nyenzo hapa chini kwa manufaa yako. Unaweza kupata nyenzo za ziada za ushauri wa kusafiri hapa.

Shirika la Afya Duniani (WHO)

Shirika la Utalii Duniani la Umoja wa Mataifa (UNWTO)

Muungano wa Ulaya (EU)

Australia

Austria

Ubelgiji

Kanada

China

Kroatia

Kupro

Jamhuri ya Cheki

Denmaki

Misri

Estonia

Ufini

Ufaransa

Georgia

Ujerumani

Ghana

Ugiriki

Hong Kong (SAR)

Hangaria

Iceland

India

Ayalandi

Israeli

Italia

Japani

Jordan

Kenya

Latvia

Lebanoni

Lithuania

Luxembourg

Malta

Morisi

Monako

Moroko

Uholanzi

New Zealand

Norwei

Polandi

Ureno

Romania

Urusi

Ushelisheli

Singapore

Slovakia

Slovenia

Afrika Kusini

Korea Kusini

Uhispania

Uswidi

Uswizi

Taiwan

Thailand

Uturuki

Ukraine

Falme za Kiarabu

Uingereza

Marekani

Vietnam

Je, makala hii ilikusaidia?