Jinsi ya kufanya
•
Mgeni
Ondoa ombi la kufanya mabadiliko ya safari
Ondoa ombi la kufanya mabadiliko ya safari
Plans change, and that's ok. If you sent a Host a trip change request for a confirmed reservation, you can withdraw the request and keep the original reservation.
Ili kuondoa maombi ya kufanya mabadiliko ya safari:
- Nenda kwenye Safari kisha bofya kwenye safari ambayo unataka kuibadilisha
- Chini ya Mabadiliko yanasubiri, bofya Angalia
- Bofya Ghairi
- Nenda kwenye Safari
kisha bofya safari unayotaka kubadilisha
- Chini ya Mabadiliko yanasubiri, bofya Onyesha
- Bofya Ghairi mabadiliko yaliyoombwa
- Nenda kwenye Safari
kisha bofya safari unayotaka kubadilisha
- Chini ya Mabadiliko yanasubiri, bofya Onyesha
- Bofya Ghairi mabadiliko yaliyoombwa
- Nenda kwenye Safari kisha bofya kwenye safari ambayo unataka kuibadilisha
- Chini ya Mabadiliko yanasubiri, bofya Angalia
- Bofya Ghairi
Ili kuangalia hali ya nafasi uliyoweka, nenda kwenye Safari, bofya Onyesha mipango zaidi ya safari, kisha Onyesha maelezo. Unaweza pia kuangalia Kikasha chako ili kupata ujumbe kutoka kwa Mwenyeji wako.
Je, makala hii ilikusaidia?
Makala yanayohusiana
- MgeniBadilisha ombi la safari linalosubiriIkiwa ombi linasubiri na halijakubaliwa na Mwenyeji, unaweza kuondoa ombi hilo na utume jipya pamoja na maelezo yako ya kuweka nafasi yaliyo…
- MwenyejiKujibu ombi la kubadilisha safari ya mgeniIwapo mgeni wako anataka kubadilisha maelezo ya nafasi aliyoweka ambayo imethibitishwa (mfano: kufupisha safari yake au kuongeza usiku), laz…
- MgeniGhairi ombi la safariMaadamu ombi lako la safari halijakubaliwa, unaweza kughairi nafasi uliyoweka kupitia uzi wa ujumbe na Mwenyeji wako.
Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili