Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Jinsi ya kufanya
Mwenyeji

Kuunganisha kalenda za matangazo mengi

No one wants to be double-booked. If you have multiple listings within the same place, like one for a private room and another for the entire place, you can link their calendars. That way, when you accept a trip request for the entire place, the dates will also be blocked on the private room's calendar.

Ili kuunganisha kalenda za matangazo mengi

Unaweza tu kuunganisha kalenda kwa matangazo ambayo yana Mwenyeji mkuu mmoja. Wenyeji Wenza hawawezi kuunganisha kalenda.

 1. Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo
 2. Bofya Bei na upatikanaji
 3. Nenda kwenye Uoanishaji wa kalenda kisha ubofye Hariri karibu na Kalenda za Airbnb zilizounganishwa
 4. Bofya Unda kalenda zilizounganishwa kisha uchague tangazo ambalo lina matangazo yako mengine
 5. Bofya Inayofuata
 6. Chagua matangazo unayotaka kuunganisha
 7. Bofya Hifadhi

Kalenda huunganishwa tu kati ya matangazo unayochagua.

Ili kuondoa kalenda zilizounganishwa za matangazo mengi

 1. Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
 2. Bofya Bei na upatikanaji
 3. Nenda kwenye Uoanishaji wa kalenda kisha ubofye Hariri karibu na Kalenda za Airbnb zilizounganishwa
 4. Bofya Hariri karibu na tangazo lililo na tangazo unalotaka kuondoa
 5. Tangua uteuzi kwenye tangazo unalotaka kuondoa
 6. Bofya Hifadhi

Syncing external calendars

Juggling more than one calendar? Learn how to connect your Airbnb calendars with third-party ones.

Je, makala hii ilikusaidia?

Makala yanayohusiana

Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili