Kuoanisha kalenda yako ya Airbnb na kalenda nyingine
Congratulations—your place is popular! If you list it on other websites, you can prevent multiple guests from booking the same dates by syncing your Airbnb calendar with your other calendars. You can do this for dates up to one year in the future. Learn more about updating your Host calendar to address any issues with blocked dates.
Calendar importing
Calendar importing allows you to manually sync your Airbnb calendar with external calendars that support the iCalendar (iCal) format. Google calendar is not automatically syncing, manual refresh is required to sync calendars
Your Airbnb calendar automatically resyncs every 2 hours, although the frequency of resyncs by your external calendars is determined by their owners (ex: HomeAway or Vrbo). One more thing to note: You can’t pause a synced calendar. If you want to stop, then start back up, you’ll need to remove the calendar, then import it again.
Ili kuingiza kalenda
- Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
- Nenda kwenye Bei na upatikanaji > Uoanishaji wa kalenda
- Bofya Ingiza kalenda
- Nakili URL ya kalenda yako isiyo ya Airbnb kwenye sehemu ya anwani ya Kalenda
- Ipe jina kalenda ambayo unataka kuingiza
- Bofya Ingiza kalenda
Ili kuoanisha kalenda yako ya Airbnb na kalenda nyingine, utahitaji kuingia kwenye akaunti yako kupitia kompyuta ya mezani au kivinjari—kipengele hiki hakipatikani kwenye programu ya Airbnb.

Ili kuondoa kalenda iliyooanishwa, tafuta tangazo kisha ubofye ikoni ya ndoo ya taka karibu na kalenda iliyooanishwa.
Ili kuhamisha kalenda
- Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
- Nenda kwenye Bei na upatikanaji > Uoanishaji wa kalenda
- Bofya Hamisha kalenda
- Katika dirisha la Hamisha kalenda, nakili kiunganishi, kisha ukibandike kwenye kalenda yako nyingine inayotegemea iCal
- Ondoka kwenye dirisha la Hamisha kalenda
Ili kuoanisha kalenda yako ya Airbnb na kalenda nyingine, utahitaji kuingia kwenye akaunti yako kupitia kompyuta ya mezani au kivinjari—kipengele hiki hakipatikani kwenye programu ya Airbnb.
Ili kuoanisha kalenda yako ya Airbnb na kalenda nyingine, utahitaji kuingia kwenye akaunti yako kupitia kompyuta ya mezani au kivinjari—kipengele hiki hakipatikani kwenye programu ya Airbnb.
- Nenda kwenye Matangazo kisha uchague tangazo unalotaka
- Nenda kwenye Bei na upatikanaji > Uoanishaji wa kalenda
- Bofya Hamisha kalenda
- Katika dirisha la Hamisha kalenda, nakili kiunganishi, kisha ukibandike kwenye kalenda yako nyingine inayotegemea iCal
- Ondoka kwenye dirisha la Hamisha kalenda
Note: Third-party calendar applications or services can’t exceed 600 sync requests per minute per IP address. More than this will trigger a 429 error, so you’ll need to slow down your calendar requests, spread them out, or retry later.
Makala yanayohusiana
- MwenyejiKuunganisha kalenda za matangazo mengiIkiwa una matangazo mengi kwenye Airbnb (mfano: nyumba yote na chumba ndani ya nyumba hiyo), unaweza kuunganisha kalenda za matangazo hayo k…
- MwenyejiKusasisha kalenda yako ya MwenyejiUnaweza kudhibiti upatikanaji wa siku kwenye kalenda yako mwenyewe au kiotomatiki. Pata maelezo kuhusu jinsi ya kudhibiti nafasi zilizowekwa…
- MwenyejiNitabadilisha vipi mipangilio yangu ya uoanishaji kwa matangazo yangu yaliyounganishwa?Dhibiti maelezo ya tangazo moja kwa moja kwenye Airbnb kwa kubadilisha mipangilio yako ya uoanishaji.