Mapendekezo yataonyeshwa baada ya kuandika kwenye sehemu ya utafutaji. Tumia mishale ya juu na chini ili kutathmini. Tumia ingia ili kuchagua. Ikiwa maneno yaliyochaguliwa ni kifungu cha maneno, kifungu hicho kitawasilishwa kwenye utafutaji. Ikiwa pendekezo hilo ni kiunganishi, kivinjari kitaelekeza kwenye ukurasa huo.
Jinsi ya kufanya
Mgeni

Kuongeza muda kwenye nafasi uliyoweka

If you're having a great time and would like to stay longer, you may be able to extend your reservation. 

If your trip is over

If your reservation has ended, it’s too late to make a change request. What you can do, though, is send a new trip request to your Host. 

If you’re still on your trip

You can message your Host and ask if they can accommodate a longer stay, or you can simply send them a change request.

Wasilisha ombi la mabadiliko

  1. Nenda kwenye Safari kisha ubofye safari unayotaka kubadilisha
  2. Bofya Badilisha nafasi iliyowekwa
  3. Badilisha tarehe za ukaaji wako au idadi ya wageni kisha ubofye Hifadhi
    • Tafadhali kumbuka kwamba Mwenyeji atalazimika kukubali mabadiliko yoyote yaliyowasilishwa. Ikiwa Mwenyeji wako hatakubali, jaribu kumtumia ujumbe unaomkumbusha atathmini ombi lako la kufanya mabadiliko.
  4. Tathmini mabadiliko yako, kisha ubofye Tuma ombi
  5. Mara baada ya kutuma ombi, Mwenyeji atapokea arifa ya kuidhinisha au kukataa ombi lako

If your Host accepts your change request, your reservation will be updated and you’ll be charged for the extra time. If your Host can’t extend your stay or if they don’t respond, your checkout date will stay the same.

Je, makala hii ilikusaidia?

Makala yanayohusiana

Pata msaada kuhusu nafasi ulizoweka, akaunti na kadhalika.
Ingia au ujisajili