Maudhui haya hayapatikani katika lugha uliyochagua, kwa hivyo tumeifanya ipatikane kwa lugha iliyo karibu zaidi inayopatikana kwa sasa.

Sera rahisi ya kurejesha fedha ya Tukio kwa ajili ya jumuiya

Tunasasisha sera ya kurejeshewa fedha ya Matukio ili kuisaidia jumuiya ya Airbnb vizuri zaidi.
Na Airbnb tarehe 15 Jun 2022
Inachukua dakika 1 kusoma
Imesasishwa tarehe 15 Jun 2022

Vidokezi

Tunafahamu ni muhimu kwako, kama Mwenyeji wa Tukio, kuwapa wageni wako ukarimu wa ajabu. Hapo awali, ikiwa mgeni alikuwa na tatizo linalohusu Tukio, iwe ana kwa ana au mtandaoni, angeweza kuomba kurejeshewa fedha wakati wowote baada ya Tukio kumalizika.

Tunaelewa kwamba kutowapa wageni kikomo cha muda wa kuripoti matatizo si jambo zuri kwa Wenyeji, kwa hivyo tunasasisha sera yetu ya kurejesha fedha ya mgeni kwa ajili ya Matukio. Wageni sasa watakuwa na saa 72 baada ya Tukio kuwasilisha ombi la kurejeshewa fedha ikiwa kulikuwa na tatizo.

Pia tumerahisisha lugha ya sera ili kuifanya iwe dhahiri. Kiini cha sera kinabaki vilevile. Sera iliyosasishwa inatumika kwenye nafasi zilizowekwa mnamo au baadaya tarehe 15 Julai, 2022.

Kwa taarifa zaidi, unaweza kutathmini sasisho letu la 2022.

Shiriki maoni yako

Vidokezi

Airbnb
15 Jun 2022
Ilikuwa na manufaa?