Ruka kwenda kwenye maudhui

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja huko New York

Jisikie ukiwa nyumbani katika maeneo ambayo ni bora kwa ajili ya kukaa kuanzia mwezi mmoja au zaidi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja zilizo karibu

Inaonyesha kitu 1 kati ya 1
Nyumba ya kupangisha nzima · Astoria
Charming boutique apt 15 min from Manhattan
$1,094 kwa mwezi
Inaonyesha kitu 1 kati ya 1
Chumba cha kujitegemea · Midtown Manhattan
Private Apartment/Shared Bathroom 816
$1,186 kwa mwezi
Inaonyesha kitu 1 kati ya 1
Nyumba ya kupangisha nzima · Harlem
Upper West - Chic Studio
$1,848 kwa mwezi
Inaonyesha kitu 1 kati ya 1
Chumba cha kujitegemea · Theater District
New!! Cozy full equipped room in Times Square
$1,155 kwa mwezi

Nyumba za kupanga kuanzia mwezi mmoja kwenye Airbnb

Starehe za nyumbani
Nyumba zilizowekewa huduma kamili zinajumuisha jiko na vistawishi unavyohitaji ili uishi kwa starehe kwa mwezi mmoja au zaidi. Ni mbadala bora kwa upangishaji mdogo.
Urahisi wa kubadilika unaohitaji
Chagua tarehe zako halisi za kuingia na kutoka na uweke nafasi kwa urahisi mtandaoni, bila kujizatiti au nyaraka zozote za ziada.*
Bei rahisi za kila mwezi
Bei maalumu kwa sehemu za kukaa za muda mrefu na malipo ya mara moja ya kila mwezi bila malipo ya ziada.*
Weka nafasi bila hofu
Imetathminiwa na jumuiya yetu inayoaminika ya wageni na usaidizi wa saa 24 wakati wa ukaaji wako wa siku nyingi.
Sehemu zinazofaa kufanyia kazi
Kufanya kazi kumerahisishwa - pata sehemu ya kukaa ya muda mrefu yenye Wi-Fi ya kasi na sehemu mahususi za kufanyia kazi.
Je, unatafuta nyumba za shirika?
Airbnb ina nyumba za fleti zilizo tayari kukaliwa zinazofaa kwa wafanyakazi, waliohamishwa na mahitaji ya kuhama.

Pata starehe za nyumbani na bei bora kwa ajili ya upangishaji wako wa kuanzia mwezi mmoja

  • Nafasi kwa kila mtu
  • Wafanyakazi walio safarini
  • Likizo zenye amani
  • Inafaa kwa wanyama vipenzi

Sehemu ya kukaa huko New York

Wakazi wanashiriki mapendekezo maarufu ya kitongoji chao ili kukusaidia kupata sehemu ya kukaa kwa safari yako.

Picha ya Union Square
Union SquareWanachosema wenyejiKisasa · Maarufu · Tulivu
Picha ya SoHo
SoHoWanachosema wenyejiKisasa · Viwanda · Tulivu
Picha ya Williamsburg
WilliamsburgWanachosema wenyejiViwanda · Kisasa · Yenye mtindo
Picha ya Theater District
Theater DistrictWanachosema wenyejiChangamfu · Makazi · Tulivu
Picha ya Dumbo
DumboWanachosema wenyejiViwanda · Kisasa · Kihistoria
Picha ya Chinatown
ChinatownWanachosema wenyejiKisasa · Tulivu · Changamfu
*Baadhi ya vighairi vinaweza kutumika katika maeneo fulani na kwa baadhi ya nyumba.