Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa

  Kuhariri nambari za simu kwenye akaunti yako

  Need to edit your phone number? No problem.

  Ili kuhariri nambari yako ya simu:

  1. Nenda kwenye Akaunti > Taarifa binafsi
  2. Karibu na Nambari ya simu, bofya Hariri
  3. Fanya mabadiliko kisha ubofye Hifadhi

  Note: After a booking is accepted, all phone numbers on an account will be displayed to the other party, whether you're a guest or a Host.

  Using your phone number to log in

  Once you have a phone number associated with an account, you’ll have the option to log in to Airbnb using that phone number.

  If you have more than one phone number listed, or your phone number is shared across multiple accounts, you’ll need to log in with an email address.

  Ulipata msaada uliohitaji?

  Makala yanayohusiana