Nenda mbele ili upate matokeo yaliyopendekezwa

  Badilisha tarehe au saa ya nafasi iliyowekwa ya Tukio lako

  You booked an Experience, but the date or time no longer works for you? Don’t worry, you don’t have to miss out! You may be able to change your reservation, depending on your Host’s availability and their cancellation policy.

  You’ll be able to review any changes in the total cost before you finalize the change.


  Ili kuratibu upya kwa tarehe au saa tofauti:

  1. Nenda kwenye Safari kisha ubofye Tukio unalotaka kubadilisha
  2. Bofya Badilisha au ghairi
  3. Chini ya Badilisha tarehe au saa, bofya Inayofuata
  4. Tafuta tarehe au saa mpya kisha ubofye Chagua
  5. Bofya Thibitisha mabadiliko
  Ulipata msaada uliohitaji?

  Makala yanayohusiana